Rick Ross atumia Tsh. Bilioni 11 kubadili Sakafu ya Jumba lake

Rick Ross atumia Tsh. Bilioni 11 kubadili Sakafu ya Jumba lake

kuna shutma alipata kuwa sekunde moja wazungu washakuja na hawezi kurudia tena, yani kimoko chali.

mademu waliohojiwa walisema 'he is a selfish lover' yeye hata denda hapigi, ikisimama tu anataka achomeke.



I got an R&B Chick, I got a rap Chick
Call her anime, 'cause I got a stack Chick
I got a Chick on her period, that's money loss
I'm out two for one ho, you fvckin' with a boss.
 
kuna shutma alipata kuwa sekunde moja wazungu washakuja na hawezi kurudia tena, yani kimoko chali.

mademu waliohojiwa walisema 'he is a selfish lover' yeye hata denda hapigi, ikisimama tu anataka achomeke.

Wanaokamia mademu ni wale ambao hawana kitu na hawana uhakika wa pvssy ,matajiri wanapiga kimoko tu na harudii tena maana ana stock ya pvssies zaidi ya 100 kali zipo kwenye foleni.
 
Mbona kwenye hayo magari sioni LC300 huyu Rick Ross hajui magari nini?
Hahaha naona unawatafuta wazee wa Toyota, kila mtu na taste yake bhana mbona kuna watu maarufu na matajiri pia hawana Benz, Porsche, Bentley, RR, BM and co, au nao hawajui magari
 
Una uhakika gani

Mariooz ndiyo msingi kiuno,muda mwingi anaumiza kichwa apate mwanamke mwenye hela ili amtumze so akimpata atajitahidi apige mpaka iwake moto hapo ataboost na energy drink ,ataboost na mkongo ili mradi akae lisaa kifuani.

Tajiri hana muda wa kukaa kifuani lisaa limoja (labda kwa mkewe akiwa amepumzika kwake),vikao vitampita ,emails za deal na calls zitampita but kuna exception of some tajiriz who are ngono oriented.
 
Rapa na Mfanyabiashara William Leonard Roberts II a.k.a 'Rick Ross kupitia ukurasa wake wa Instagram ameshare video ikionesha mabadiliko aliyofanya kwenye Sakafu ya Jumba lake la kifahari kwa kuweka Marumaru 'Tiles' mpya kutoka Italia.

Rick Ross alinunua jumba hilo kwa zaidi ya Tsh. Bilioni 13.5 mwaka 2020 na kuanza kuliongezea thamani. hadi sasa lina Vyumba 109, Bafu 21, Vyumba vya Kulala 12 na Sehemu ya Chakula inayoweza kutosha Watu 100 kwa wakati mmoja na ukubwa wa ardhi yake ni Futi za Mraba 55,000.

Kwa mujibu wa jarida la #BleacherReport ghama za matumizi ya Umeme kwa mwezi ni Tsh. Milioni 39.7, Bwawa lake la Kuogelea linatumia Lita Milioni 1.3 za Maji kujaa. Rick Ross anatajwa kuwa utajiri wa Tsh. Bilioni 128.7.

Vipi Mdau, Utatafuta Hela au tukuache kwanza?

================
Rick-Ross-Car-Collection-No-Drivers-License.jpg

Rick Ross' lavish home just got even more extravagant with his new $5 million floor from Antolini, a luxury stone company based in Italy.

The ultra famous rapper and entrepreneur has some expensive taste. 🔥

Architecture Digest
Niacheee kwanza 🤣🤣🤣🤣
 
Aaah hao washamba tu, madude ni ya porini tu hakuna celebrity nchi zenye utamkuta na hilo chuma, hata Dubai hapo utayakuta kule jangwani ndio kazi yake desert safaris huko down town utaona RR,porsche,lambos na wenzie
Kabisa mkuu, wenye mawe yao hawawezi sumbuka na Toyota
 
kuna shutma alipata kuwa sekunde moja wazungu washakuja na hawezi kurudia tena, yani kimoko chali.

mademu waliohojiwa walisema 'he is a selfish lover' yeye hata denda hapigi, ikisimama tu anataka achomeke.
Anafeli wapi akati kuna mkongo na putururu uku mtaani kwetu?
 
Imagine huna hili wala lile unamuona Lupita pale Msimbazi kariakoo anachagua chagua kacha za Wamasai[emoji3] lazima ujiulize ni yeye au nimemfananisha maana hujadhania kumuona maeneo hayo, ila ungemuona Znz kwenye Sauti za Busara ungemjua kwa haraka isingekusumbua kulingana na mazingira
HV lupita ndio mwenye ngoma au mm ndio Sina taarifa kamili ,Mara ya mwisho kusikia hbr zake ilisemekana Ni muadhirika

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom