Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,264
- 10,535
Yeye nani sasa wakati ni mimi, kwani watu mbona kama mmevurugwa sana ni hili jua kali au? [emoji3]Yeye kasema jamaa KWA sasa ayupo sawa hata kwenye wimbo wake wa lonely ndo nikamwambia huo wimbo anazungumzia career yake mwanzoni kabisa na hazungumzii maisha yake ya sasa
Umewekewa lyrics hapo chukua kamusi ya English to Kiswahili labda unaweza ukapata mwanga.
Na hujui amesema kua amecancel tour yake ya dunia sababu ya tatizo la afya ya akili?