Tetesi: Ridhiwan Kikwete, Freeman Mbowe, Halima Mdee, miongoni mwa wadaiwa Twiga Bancorp

Wadaiwa sugu benk ya Twiga Bancorp iliyochukuliwa na BoT wanaendelea kuhenya na kuhenyeshwa mitaani, imefahamika. Watu hawalali, watu hawanywi na watu hawali!

Zipo taarifa nyeti kutoka vyanzo vya uhakika kabisa kuwa mjengo wa Ridhiwan ulioko maeneo ya Sinza Mori huenda ukakumbwa na kimbunga kama dhamana juu ya deni analodaiwa kijana huyo na benki hiyo iliyofilisika hivi karibuni.

Hata hivyo thamani halisi ya jengo hilo bado haijajulikana.
Hivi ile kasino kinyelezi ni kweli ni ya huyo kijana?
Wadaiwa sugu benk ya Twiga Bancorp iliyochukuliwa na BoT wanaendelea kuhenya na kuhenyeshwa mitaani, imefahamika. Watu hawalali, watu hawanywi na watu hawali!

Zipo taarifa nyeti kutoka vyanzo vya uhakika kabisa kuwa mjengo wa Ridhiwan ulioko maeneo ya Sinza Mori huenda ukakumbwa na kimbunga kama dhamana juu ya deni analodaiwa kijana huyo na benki hiyo iliyofilisika hivi karibuni.

Hata hivyo thamani halisi ya jengo hilo bado haijajulikana.
hivi kuna kasino moja ipo kinyerezi ni kweli ni huyo kijana?
 
Back
Top Bottom