johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Mbunge wa Chalinze Mh Ridhiwan amesema ile Picha iliyosambaa mitandaoni akiwa na baba yake Mzee Kikwete pamoja na Rais Samia inampa faraja kubwa na anajivunia
Ridhiwan amesema pale Rais Samia alikuwa anamshukuru Mzee Kikwete kutokana na mchango anaoutoa( Ridhiwan) akiwa kama Msaidizi wake(Waziri)
Mh Ridhiwan alikuwa akijibu swali la mtangazaji nguli wa clouds PJ aliyetaka kujua maoni ya Ridhiwan kuhusu ile Picha
Source: 360 Clouds tv
Ahsanteni sana 🇹🇿