Ridhiwani Kikwete aalikwa mkutano mkubwa wa vyama vya siasa China

Nyie watanzania kwa kuamini umbeya hamjambo!

Hizo zilikuwa stori za kutunga tu.
 
Kama Magufuli aliweza kutawala nchi hii,kwa vituko vyake,nani anaweza shindwa?
 
Wewe ndio kilaza na zwazwa uliyekuwa unafaidika na utawala wa kishenzi wa awamu iliyopita. Utawala gani unaweza kuwa na viongozi aina ya Sabaya na makonda?
 
Gesi si walishachukua?
au wanataka tuwape SGR na bwawa la Nyerere?
Hawachukua chochote acheni kuwasingizia Wachina, lakini kama ni suala la ukandrasi wa ujenzi Wachina hawakwepeki kwa taarifa yako Wachina ndio wajenzi wakuu wa bwawa la Nyerere ingawa hilo halisemwi wazi wazi.

Haya sasa tuje kwenye mradi wa ujenzi wa SGR Wachina wamekwisha pewa phase ya ujenzi ya kutoka Mwanza kwenda Isaka - sina shaka watapewa phase ya kutoka Tabora mpaka Makutopora, binafsi napendekeza Tabora - Kigoma wapewe hao hao Wachina - tuwe wakweli hapa, Wachina ndio wenye uwezo mkubwa wa kujenga phase zote kwa mpigo na kuukamilisha mradi on TIME.
 
Kwanini hilo, halisemwi wazi wazi? Wewe umelipata wapi?
Kwani wawe Wachina na si watu wengine?
 
Hii ni embarassment kubwa sana kwa nchi, yaani mtu mmoja anaiweka nchi rehani kisa kukwepa hukumu aliyopewa kihalali......ni watu wangapi wamehukumiwa kunyongwa na wakanyongwa! kwa nini kuwe na double standard.....
 
Ungetoa kwa Mwaliko tukaone
 
Wewe ndio kilaza na zwazwa uliyekuwa unafaidika na utawala wa kishenzi wa awamu iliyopita. Utawala gani unaweza kuwa na viongozi aina ya Sabaya na makonda?
Kati ya watu wa ovyo kutokea toka dunia iumbwe aisee we ni namna moja, alaf usikute ni msomi mzuri lakini ujinga unaongea unalevel ya PhD ya uzwazwa, kweli elimu yetu inapaswa itafakaliwe upya kama mtu anaishia kufikiria ndani ya boksi, hii ni hatari katika taifa hili
 
Anapeleka madawa ya kulevya na kuplani MISHENI TENA ZA BIASHARA ULINGONI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…