Ridhiwani Kikwete afanya ziara ya kukagua ujenzi wa Shule ya Sekondari

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
"Nimefanya ziara kukagua maendeleo ya Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Chalinze Modern Islamic. Sekondari hii ni alama ya mashirikiano baina ya Serikali na watu binafsi. Kupitia Serikali ya awamu ya Sita, mashirikiano haya yatazidi kuimarishwa kwa faida ya Taifa letu." Mbunge wa Chalinze Mkoani Pwani Mhe Ridhiwani Kikwete.

#ZiaraKazi
#KaziInaendelea
#SSH



 
Mbona hayo majengo ya hiyo shule yanaonekana ujenzi wake ni chini ya viwango? Don’t they have quality assurance in the construction of these school buildings ?
 
ni jambo jema lkn Mbunge awasaidie kutafuta wahisani waporomoshe majengo ya maana na yenye hadhi ili kweli hiyo shule iwe alama ya kudumu kwa kizazi cha chalinze.
kwa Heshima ya Mzee JK hiyo shule ilipaswa iwe ya kimatifa.
inawezekana kabisa endapo tu mbunge atalisimamia.
 
sawa dogo kikwete, mwambie mshua wako amwambie mama na mwakani apandishe madaraja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…