Ridhiwani Kikwete akutana na Balozi wa Japan, wajadili kuwezesha vijana wa Kitanzania kimafunzo na ujuzi

Ridhiwani Kikwete akutana na Balozi wa Japan, wajadili kuwezesha vijana wa Kitanzania kimafunzo na ujuzi

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan nchini Tanzania ambaye pia ni Mwakilishi wa Japan katika Jumuiya ya Afrika Mashariki, Mhe. Yusushi Misawa pamoja na ujumbe wake alipomtembelea katika Ofisi ya NSSF, Jijini Dar es Salaam.

Katika kikao hicho, wamejadili mambo mbalimbali ikiwemo kuwezesha vijana wa Kitanzania nafasi za kujifunza kazi na kuimarisha mafunzo pamoja na kuongeza ujuzi.

#KaziIendelee
 

Attachments

  • FB_IMG_1732080763697.jpg
    FB_IMG_1732080763697.jpg
    66.3 KB · Views: 7
  • FB_IMG_1732080759816.jpg
    FB_IMG_1732080759816.jpg
    70.6 KB · Views: 4
  • FB_IMG_1732080753518.jpg
    FB_IMG_1732080753518.jpg
    74.7 KB · Views: 6
  • FB_IMG_1732080751126.jpg
    FB_IMG_1732080751126.jpg
    62.6 KB · Views: 4
Kwa sasa tz hakuna vijana wa calibre hiyo
Vijana na watoto wengi sahv wao wanataka kazi laini laini na kukata uno tu

Ova
 
Back
Top Bottom