mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Kwanini usichaguliwe wewe au we hufai hujaivaMHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
✓MHESH Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania
Mtoto wa Kiongozi Mkubwa kisiasa aliyesoma shule za kawaida kabisa hapa nchini Tanzania akianzia Sekondari ya Shaaban Robert Dar es salaam, Sekondari ya Mkwawa Iringa na baadaye Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam alikohitimu Sheria
Amejaaliwa sifa mbalimbali
•Uzoefu wa Kutosha Jimboni Chalinze
•Mchapakazi
•Mvumilivu
•Mtiifu
•Muadilifu
•Mnyenyekevu
•Msikivu
•Ametekeleza Ilani ya Uchaguzi Kikamilifu
•Mtu wa Watu
Anafaa & anastahili & apewe nafasi
Alafu members wengi jf ni wapiga chapuo wa wenzao,mnawatafutia ugali wenzenu tu
Ova