Ridhiwani Kikwete ameiva vya kutosha hivyo nashauri akabidhiwe majukumu makubwa zaidi awatumikie Watanzania

Kwanini usichaguliwe wewe au we hufai hujaiva

Alafu members wengi jf ni wapiga chapuo wa wenzao,mnawatafutia ugali wenzenu tu

Ova
 
Siku akiboronga utashindwa kumuwajibisha kwa kuhofia msoga reaction,yajayo yanafurahisha wizara ya ardhi.
 
Apewe tu uwaziri kamili kwenye wizara hiyo hiyo ya ardhi apate mamlaka kamili ya kuitwaa ardhi yake iliyokataliwa na Lukuvi kwa maslahi mapana ya wanakijiji husika
 
Nafasi si hiyo kapewa, wewe hujardhika?? Unataka apewe nafasi gani??
 
Wewe ni mpigaji tu,hata huna aibu,Ridhiwani kaiva!We know what Samia is doing,kurudisha nchi kwa wapigaji na wahuni.Je,wenye uchungu wa nchi na wananchi watakaa kimya,huku wakiangalia nchi ikifanywa shamba la Bibi?Tusubiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…