WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Mbona wewe mpaka leo unaomboleza mpendwa wako kila siku yeye alishindwaje kumwomboleza Rais aliyemwibua hata kwa mwezi mmoja?Hiyo haitoshi kuwa sababu ya kumtia hatiani hayati, Mambo ya hovyo Sana haya. Kwahiyo ulitaka baada ya kifo Maisha ya simame ili kitokee kitu gani? asile mahindi hadharani? Leta ushahidi wa kueleweka na siyo porojo za kula mahindi.
Mkuu weka Double Chance. Ina odds nzuri!Hii betting ina odds ngapi tuweke mzigo
Hizo ni assumption za kipuuzi. Maisha lazima yaendelee, kumuibua kutokea wapi?Mbona wewe mpaka leo unaomboleza mpendwa wako kila siku yeye alishindwaje kumwomboleza Rais aliyemwibua hata kwa mwezi mmoja?
Mbona wewe mpaka leo unaomboleza mpendwa wako kila siku yeye alishindwaje kumwomboleza Rais aliyemwibua hata kwa mwezi mmoja?Hiyo haitoshi kuwa sababu ya kumtia hatiani hayati, Mambo ya hovyo Sana haya. Kwahiyo ulitaka baada ya kifo Maisha ya simame ili kitokee kitu gani? asile mahindi hadharani? Leta ushahidi wa kueleweka na siyo porojo za kula mahindi.
Aliyemteua kuwa waziri wa ujenzi ni nani?Hizo ni assumption za kipuuzi. Maisha lazima yaendelee, kumuibua kutokea wapi?
Kwani hivyo vyeo wanapewa Kama hisani?Mbona wewe mpaka leo unaomboleza mpendwa wako kila siku yeye alishindwaje kumwomboleza Rais aliyemwibua hata kwa mwezi mmoja?
Aliyemteua kuwa waziri wa ujenzi ni nani?
Ndiyo,si mama Samiah amemteua mka mwana wake kuwa waziri?Kwani hivyo vyeo wanapewa Kama hisani?
Kama amemteua Kwa hisani amekiuka Katiba ya nchi, tofauti na hapo yupo sahihi ilhali mteuliwa ana fit kwenye hiyo nafasi.Ndiyo,si mama Samiah amemteua mka mwana wake kuwa waziri?
Kwa ninavyo mfahamu mkwere, kuna mtu atamzidi akili mwenzie dakika za lala salama. Lowasa na Rostam ni mashahidi wanguUlinzi wa Ridhiwan unasababishwa na kwamba yeye ni mtoto wa rais. Ana privilege hiyo kama sehemu ya ulinzi wa familia ya rais mstaafu. Upo hapo?
Halafu kuhusu maandalizi ya kugombea urais , binafsi naona Makamba ndiyo anaandaliwa njia ya kuelekea ikulu. Na uwezo wake wa kiakili ni mkubwa ukiwalinganisha kati yao hao watu 3 (Nape, Ridhiwan na Makamba).