Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
Kama ulifuatilia taarifa ya Mh Ridhiwani wakati mbunge wa Ndugai anatoa hoja yake utagundua jambo. Alianza kwa kusema, mh Naibu Spika, napenda kumpa taarifa ndugu Jesca Kishoa...
Hiyo inamaanisha kuwa ndani ya bunge na kati ya wabunge wale wako ambao hawaitambui ile timu ya wabunge 19 walioondolewa chadema
Pia ulimsikia Msukuma akisema Kishoa si mbunge. Sasa kama mambo yapo bayana hivi, ni kitu gani kinazuia uhalalishaji wa zuio la wabunge hao kuendelea na vikao vya bunge?
Ni matumaini yangu kuwa upinzani utakapokutana na Rais, tutarajie Spika kutoa neno juu ya ubunge wa wabunge hawa. Mhimili wa serikali umeenda chini zaidi