BWANKU M BWANKU
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 377
- 435
Katika ziara hiyo wametumia nafasi kueleza mafanikio ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 , kuwakumbusha wananchi kujiandikisha katika daftari la ukaazi na kupiga kura na kuwahimiza kuendelea kuamini kuwa serikali ya CCM chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bado inaendelea kutekeleza majukumu yake na yanakwenda vizuri hivyo kuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
#KaziInaendelea