Ridhiwani Kikwete ashiriki ziara ya Katibu Mkuu wazazi- Bagamoyo, aeleza utekelezaji wa Ilani ya CCM na ushiriki uchaguzi Serikali za mitaa

Ridhiwani Kikwete ashiriki ziara ya Katibu Mkuu wazazi- Bagamoyo, aeleza utekelezaji wa Ilani ya CCM na ushiriki uchaguzi Serikali za mitaa

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
377
Reaction score
435
IMG-20240908-WA0009.jpg
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ameshiriki kupokea Ugeni wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Cde Ally Salum Hapi katika wilaya ya Bagamoyo.

Katika ziara hiyo wametumia nafasi kueleza mafanikio ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 , kuwakumbusha wananchi kujiandikisha katika daftari la ukaazi na kupiga kura na kuwahimiza kuendelea kuamini kuwa serikali ya CCM chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bado inaendelea kutekeleza majukumu yake na yanakwenda vizuri hivyo kuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

#KaziInaendelea

IMG-20240908-WA0007.jpg
IMG-20240908-WA0003.jpg

IMG-20240908-WA0010.jpg
 
Attachments

  • IMG-20240908-WA0005.jpg
    IMG-20240908-WA0005.jpg
    1,000.1 KB · Views: 3
  • IMG-20240908-WA0117.jpg
    IMG-20240908-WA0117.jpg
    251.3 KB · Views: 3
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ameshiriki kupokea Ugeni wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Cde Ally Salum Hapi katika wilaya ya Bagamoyo.

Katika ziara hiyo wametumia nafasi kueleza mafanikio ya Utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020-2025 , kuwakumbusha wananchi kujiandikisha katika daftari la ukaazi na kupiga kura na kuwahimiza kuendelea kuamini kuwa serikali ya CCM chini ya Uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan bado inaendelea kutekeleza majukumu yake na yanakwenda vizuri hivyo kuna kila sababu ya kuendelea kumuunga mkono Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

#KaziInaendelea
Komredi Bwanku ungeanza na kuandika RIDHIWANI KIKWETE....

Haijakaa poa kusema "Kikwete".....

#Lidumu taifa la Tanzania [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom