Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,991
- 24,211
Namshangaa hizo guts kazipata wapi, na bado nimchanga sana kisiasa.
Angejipa muda wa ku-observe game kabla ya kuja na komenti za aina hii, anyway labda kajipina kina.
Angejipa muda wa ku-observe game kabla ya kuja na komenti za aina hii, anyway labda kajipina kina.
Na kwa kuwa ameamua kuingia kwenye ulingo wa siasa ilihali akijua usafi wake una mushkeli basi awe muungwana kuchutama pale atakapovuliwa nguo!