Ridhiwani Kikwete kachukizwa na kitendo cha Nape kumpa bendera Diamond Platnumz?

Ridhiwani Kikwete kachukizwa na kitendo cha Nape kumpa bendera Diamond Platnumz?

Ridhwan yupo sahihi sana!

Wenzetu wanapeleka Wanaume wakacheze Mpira sie tunapeleka Mwanaume akakatie Viuno wacheza Mpira kuwaburudisha kwa kweli ni udhalilishaji wa Kiwango cha juu

Kukabidhiwa Bendera Nassib Maana Yake anatuwakilisha Watanzania kuchezesha Nyonga Jukwaani wakat ilibidi na sie Tuwe tunacheza Mpira
 
Sijui uelewa wa watanzania ukoje. Hapo issue ni TFF na mpira wao. Ndiyo mambo aliyoyaongelea Rizi. Aliyeleta huu uzi ndio kaongeza Mambo ya Nape na watu tunashabikia. Hata kama ni issue ya "why Nape atoe bendera". Yawezekana kabisa Afcon walifanya connection ya baba Tifa kupitia wizara ya habari na michezo. Kwahiyo si ajabu sana Nape kutoa bendera, japo safari ya babaTifa ni biashara zaidi wala si utaifa zaidi.
 
Anaposema bendera badala ya kupewa wanamichezo wanapewa waburudishaji sijaelewa! Kwani wanamichezo sio waburudishaji?
Kila kitu kuna pahara pake huyo ni mmburudishaji na c mshindanaji pia wapi na wapi mziki na mpira basi Andean na mapokezi wakati akirudi toka huko anakotuwakilisha!!akili za watanzani acha tupelekwe vyovyote vile kwakuwa akili zetu zimetengenezwa hivyo yaani mpira sasa ni mziki.
 
Tumefika hapa tulipo kwa sababu ya uboya rais wetu wa TTF

Sijawahi kuona bichwa nazi kama hili.

Ndio mana kapata watoto kama [HASHTAG]#Pendadiva[/HASHTAG] #

Shenzi zake
 
9f3989c1d544f24d181a8d479bbcb7a4.jpg


Kayasema Hayo Kwenye Account Yake Ya Instagram...

Je Ni chuki?.... Kutomkubali Nape ?.. kutomkubali Diamond au Basi Tu

He is right..Diamond anaenda Afcon kuburudisha wakati wa utoaji tunzo za footballers bora.
Haiwakilishi Tanzania as such anajiwakilisha kama msanii na amelipwa kwa hilo.
Ni utumiaji mbovu wa benders kwenye mambo ya kimataifa.
Naoe hajijui na haelewi au uelewa wake ni mduchu sana.
Kuna yofauti na kuiwakilisha tanzania kualikwa kuhudhuria tafrija.....umbumbu tu wa naoe
 
Ridhiwani kaongea vizuri huko anakokwenda Diamond ni kwenye ishu ya mpira halafu timu yetu ama mchezaji wetu hayupo nini maana sasa hapo au diamond ni mcheza Mpira?
 
Yaani vyombo vya habari na social media ni nouma sana....

Ila Diamond unajua kutengeneza kick mkuu...! Salute kwa hilo.

Wajanja watanielewa...!
Kweli kabisa mkuu, jamaa ni Fundi wa kutengeneza Kiki. Pale [emoji267] alishakaaa na Nape Nauye akamwambia nataka nitengeneze Kiki akamfata Bwana Riz wakayajenga na kupata iyo Kiki
 
Hili dongo ni kwa Malinzi. Badala ya Taifa Stars kupewa bender,Diamond ndio kapewa.
 
Ni issue ya kumtafsir Rizone, cjaona kosa lake kwani yupo sahihi kabsa.
Anakoenda Diamond a.k.a Simba ni kwenye AFCON ambayo ni football game na tulihtaji representative ambao ni National team, Diamond anakwenda kuburudisha tu na hakustahili kubeba hyo bendera may be kama ingekuwa n music festival na kuna competition among countries so hapo mond ange deserve kubeba hyo bendera, Japokuwa mond hana kosa na hajaomba bendera hao vibaraka wanatafuta kick ya Tanzania kupitia kwa Mond.
Mondi hao watu wakulipie na gharama zote usafir, hotel na menu sio wanakupa tu bendera alafu kaz yao kushangilia tu.
Na mkome kuanzia sasa kuitafuta kick kwa mond mkiwa mmeshndwa hata kuietengeneza National team
 
>>>>>Diamond anaenda kuiwakilisha Tanzania ipi??

Nyimbo zake zenyewe hazina mahadhi ya Kitanzania..... Ukiangalia video ya Diamond huwezi jua kuwa ni Mtanzania.


Ni aibu kubwa kwa TFF na Nape..
Mimi sijui Tanzania mnataka nini?

Hivi mbona sijawahi kiwasikia marekani wakiwasimanga kina Shakira world Cup?

Kwani wakati wa fanali za Euro 2016 ,wafaransa hawakumsimanga yule mfaransa mtengeneza beat(jina nimesahau)
 
Nipo group moja la watsap na mapopo ( wanaijeria), wasouth, wazim, Ghana, na nchi nyingine za Africa .. Ni group la michezo ....


Niliweka hiyo taarifa ya diamond kupewa bendera kutuwakilisha kwenye Afcon ... Daaaah walinicheka sana mazee
 
Mbona kipindi baba yake alipokuwa akimkaribisha ikulu mara kwa mara hakulalama?
 
Ritz yupo sahihi kabisa. Diamond ameenda kibiashara na si kuiwakilisha nchi, sana benders anapewa ya nini? Maana kama ni kuitangaza Tanzania apewe bendera na wizara ya utalii.
 
Back
Top Bottom