Mkaruka
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 19,629
- 34,199
Kikwete Alijitahidi Kuibeba Taifa Stars Kwa Nguvu Zake Zote, Lakini Imekuwa Zigo HaibebekiMbona kipindi baba yake alipokuwa akimkaribisha ikulu mara kwa mara hakulalama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kikwete Alijitahidi Kuibeba Taifa Stars Kwa Nguvu Zake Zote, Lakini Imekuwa Zigo HaibebekiMbona kipindi baba yake alipokuwa akimkaribisha ikulu mara kwa mara hakulalama?
Ananuna kwasababu badala ya Taifa Starz kupeperusha bendera ya Taifa wanampa Diamond akaipeperushe bendera ya Taifa.Diamond ni Mtanzania anastahili kupeperusha bendera yetu simuelewi huyu ananuna kwa sababu zipi hasa.
Yaani vyombo vya habari na social media ni nouma sana....
Ila Diamond unajua kutengeneza kick mkuu...! Salute kwa hilo.
Wajanja watanielewa...!
Kwa kumpa bendera huyo jamaa,maana yake taifa hili linasupport wakata viuno kuliko michezo mingine.Inamaana taifa na sio jamaa ndo lilialikwa kwenda kukata mauno.Wametushinda hata Uganda!!sisi tunapeleka mtu kwenda kukata viuno.
Kwa hiyi ahamr chama[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nape ccm
Diamond ccm
Riz ccm
Sasa anabwabwaja nini
Riz na diamond ndo wametengeneza kiki...! Wala Nape hayupo kwenye kikiKweli kabisa mkuu, jamaa ni Fundi wa kutengeneza Kiki. Pale [emoji267] alishakaaa na Nape Nauye akamwambia nataka nitengeneze Kiki akamfata Bwana Riz wakayajenga na kupata iyo Kiki
Mkuu mimi sinaga hayo mambo! Wewe bado hujaelewa tuu...Team Kiba on air
Kwa maelezo yako inaonesha kwamba Diamond kwanza kajipendekeza kwenda huko kufanya shoo alaf ili kutafuta kick zaidi kamualika Nape amkabidhi Bendera ya taifaMkuu mimi sinaga hayo mambo! Wewe bado hujaelewa tuu...
Soma post #78
za kina p square ndo zna maadh ya kinaigeria? watu ss hv wana focus ki international zaidi....nyimbo za kimaadili aimbe mmpoto na makhirikhiri>>>>>Diamond anaenda kuiwakilisha Tanzania ipi??
Nyimbo zake zenyewe hazina mahadhi ya Kitanzania..... Ukiangalia video ya Diamond huwezi jua kuwa ni Mtanzania.
Ni aibu kubwa kwa TFF na Nape..