Kila kitu kuna pahara pake huyo ni mmburudishaji na c mshindanaji pia wapi na wapi mziki na mpira basi Andean na mapokezi wakati akirudi toka huko anakotuwakilisha!!akili za watanzani acha tupelekwe vyovyote vile kwakuwa akili zetu zimetengenezwa hivyo yaani mpira sasa ni mziki.Anaposema bendera badala ya kupewa wanamichezo wanapewa waburudishaji sijaelewa! Kwani wanamichezo sio waburudishaji?
Nilishasema wajanja watanielewa! You have failed mkuuKiki gani tena hapo [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Kayasema Hayo Kwenye Account Yake Ya Instagram...
Je Ni chuki?.... Kutomkubali Nape ?.. kutomkubali Diamond au Basi Tu
Codemix ya kibantu na kiswahili.Hilo neno "Ngashindwa" pia kaliandika Mh.Mbunge? Yule Mzee kifimbo cheza inabidi arudi maana wachafuzi wa lugha wanazidi kuongezeka
Kweli kabisa mkuu, jamaa ni Fundi wa kutengeneza Kiki. Pale [emoji267] alishakaaa na Nape Nauye akamwambia nataka nitengeneze Kiki akamfata Bwana Riz wakayajenga na kupata iyo KikiYaani vyombo vya habari na social media ni nouma sana....
Ila Diamond unajua kutengeneza kick mkuu...! Salute kwa hilo.
Wajanja watanielewa...!
Kweli kabisa mkuu, jamaa ni Fundi wa kutengeneza Kiki. Pale [emoji267] alishakaaa na Nape Nauye akamwambia nataka nitengeneze Kiki akamfata Bwana Riz wakayajenga na kupata iyo Kiki
Mimi sijui Tanzania mnataka nini?>>>>>Diamond anaenda kuiwakilisha Tanzania ipi??
Nyimbo zake zenyewe hazina mahadhi ya Kitanzania..... Ukiangalia video ya Diamond huwezi jua kuwa ni Mtanzania.
Ni aibu kubwa kwa TFF na Nape..