Ridhiwani Kikwete kachukizwa na kitendo cha Nape kumpa bendera Diamond Platnumz?

Mbona kipindi baba yake alipokuwa akimkaribisha ikulu mara kwa mara hakulalama?
Kikwete Alijitahidi Kuibeba Taifa Stars Kwa Nguvu Zake Zote, Lakini Imekuwa Zigo Haibebeki
 
bendera ya Taifa mtu yyte anaeza kupewa ilimradi uliwakilishe vema Taifa lako tu..
 
Bendera ya Tanzania ni haki ya raia yeyote wa Tanzania si wacheza soka pekee. Hata wewe kama unataka utapewa

Tatizo la watanzania ni ushamba na kutokujua haki zao, nchi zingine watu wana bendera kwenye yards zao na mtu akiwa anaenda nje ya nchi kwa shughuli yeyote anapewa ndiyo maana wanakua wazalendo huku bongo watu wanaamini bendera Ni ya footballers to ambao hawafanyi lolote la msingi. Smh . Kwa kiwango hiki cha ujinga tunasafari ndefu ya kuendelea
 
Ata mie namuunga mkono sababu diamond haendi kutuwakilisha kwenye mashindano kule anaenda na issue zake... mie mpk nafika umri huu uwa naona wanaopewa ni watu wanaoenda kufanya issue zilizo connected na taifa mfano sasa diamond anaenda kuwakilisha tz dhidi ya nan?? Mahombi na flavor?? Ridhiwan anatakiwa ajibiwe kwa hoja sio eti kisa CCM ndo ashambuliwe... watu wanajib vyama zaid lakin ukwel diamond baada ya kutumbuiza atarudi bila kitu zaidi ya mkwanja wake binafsi aliolipwa
 
Diamond ni Mtanzania anastahili kupeperusha bendera yetu simuelewi huyu ananuna kwa sababu zipi hasa.
Ananuna kwasababu badala ya Taifa Starz kupeperusha bendera ya Taifa wanampa Diamond akaipeperushe bendera ya Taifa.
Yani soka limetushinda.
 
Reactions: BAK
Wametushinda hata Uganda!!sisi tunapeleka mtu kwenda kukata viuno.
 
Angependa tuwape wanaoenda Afghanistan nini!kuleta kale kamzigo ketu kanakoua vijana.labda Mond hajampa ushirikiano.
 
Sasa kila mtu awe anapewa Bendera ya Taifa kwa sababu na Diamond nae kapewa jamani (this is a shame to us) kama taifa anapewa msanii wa nyimbo ambazo wazazi (wenye maadili ya kitanzania bado) hawawezi kuzisikiliza wala kuzitizama kabisa yaani tuseme viongozi nao wa kitaifa wamekosa maadili yaani hicho alichokifanya kinadhihirisha ni kwa kiwango kipi taifa limeshuka kimaadili Diamond Vs Bendera ya taifa!!! ambayo ikiwa anashushwa tunasimama jamani (kwani akina mrisho mpoto walikosa mpaka akapewa huyo jamaa) aisee huu ushabiki mwingine nao si mzuri kabisa.....
 
Wametushinda hata Uganda!!sisi tunapeleka mtu kwenda kukata viuno.
Kwa kumpa bendera huyo jamaa,maana yake taifa hili linasupport wakata viuno kuliko michezo mingine.Inamaana taifa na sio jamaa ndo lilialikwa kwenda kukata mauno.
 
Kweli kabisa mkuu, jamaa ni Fundi wa kutengeneza Kiki. Pale [emoji267] alishakaaa na Nape Nauye akamwambia nataka nitengeneze Kiki akamfata Bwana Riz wakayajenga na kupata iyo Kiki
Riz na diamond ndo wametengeneza kiki...! Wala Nape hayupo kwenye kiki
 
Harafu Mungu wa Tanzania ni nani acheni upuuzi Mungu n mmoja tu
 
Huy Waziri hyi nae km vle ni jpu anashindw kshughulikia v2 vya mcng ana dili na v2 vya ajabuajab
 
Mkuu mimi sinaga hayo mambo! Wewe bado hujaelewa tuu...

Soma post #78
Kwa maelezo yako inaonesha kwamba Diamond kwanza kajipendekeza kwenda huko kufanya shoo alaf ili kutafuta kick zaidi kamualika Nape amkabidhi Bendera ya taifa
 
>>>>>Diamond anaenda kuiwakilisha Tanzania ipi??

Nyimbo zake zenyewe hazina mahadhi ya Kitanzania..... Ukiangalia video ya Diamond huwezi jua kuwa ni Mtanzania.


Ni aibu kubwa kwa TFF na Nape..
za kina p square ndo zna maadh ya kinaigeria? watu ss hv wana focus ki international zaidi....nyimbo za kimaadili aimbe mmpoto na makhirikhiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…