Augustino Fanuel Massongo
JF-Expert Member
- Dec 23, 2016
- 1,278
- 666
Kwani bendera imekabidhiwa na TFF?Hiyo bendera haikupaswa kutolewa na tff hayo ni maajabu ya kuku miatamia mauai ya bata kwanza huyo dogo sio mcheza kabumbu wala mwanamuziki ni msaniiii sikunyingine muniulize niwape tofauti ya mwanamuziki na msaniii pumba tu hizo sisikazi yetu ni kusindiza tu
Bendera kama emblem ya Taifa haitolewi kwa footballers pekee na Mh Nape sio waziri wa mpira wa miguu pekee bali michezo kwa ujumla hivyo michuano ya CHAN inahusisha burudani ya muziki na Diamond kualikwa kama mburudishaji ni heshima kwa Taifa.Ni aibu kwenda kuburudisha wanamichezo wengine ambao sisi tulipaswa kuwa sehemu yao. Diamond anakwendabkibiashara ila si kwenda kuwakiliaha taifa kwa wimbo wa unanitekenyaga ukinyonga salome. Hakupaswa kupewa bendera Ridhiwani yupo sahihi
Bendera kama emblem ya Taifa haitolewi kwa footballers pekee na Mh Nape sio waziri wa mpira wa miguu pekee bali michezo kwa ujumla hivyo michuano AFCON inahusisha burudani ya muziki na Diamond kualikwa kama mburudishaji ni heshima kwa Taifa.
Mi nadhani jamaa alikuwa bize na madili sasa yamekata ndio ameshutuka anaanza kuparamia fani za wengine. Kwani burudani ni mpira tu? Hta mc pilipili ni burudani!Anaposema bendera badala ya kupewa wanamichezo wanapewa waburudishaji sijaelewa! Kwani wanamichezo sio waburudishaji?
Au diamond alimchukulia dem wake nini?Diamond ni Mtanzania anastahili kupeperusha bendera yetu simuelewi huyu ananuna kwa sababu zipi hasa.
TZ FOOTBALL FOOLSUkijua maan ya TFF rudi tujadili..
Japo ile wizara inakusanya na sanaa pia..
TZ FOOTBALL FAILURESUkijua maan ya TFF rudi tujadili..
Japo ile wizara inakusanya na sanaa pia..
Kayasema Hayo Kwenye Account Yake Ya Instagram...
Je Ni chuki?.... Kutomkubali Nape ?.. kutomkubali Diamond au Basi Tu