Ridhiwani Kikwete kachukizwa na kitendo cha Nape kumpa bendera Diamond Platnumz?

Ridhiwani Kikwete kachukizwa na kitendo cha Nape kumpa bendera Diamond Platnumz?

Hiyo bendera haikupaswa kutolewa na tff hayo ni maajabu ya kuku miatamia mauai ya bata kwanza huyo dogo sio mcheza kabumbu wala mwanamuziki ni msaniiii sikunyingine muniulize niwape tofauti ya mwanamuziki na msaniii pumba tu hizo sisikazi yetu ni kusindiza tu
Kwani bendera imekabidhiwa na TFF?
 
Ni aibu kwenda kuburudisha wanamichezo wengine ambao sisi tulipaswa kuwa sehemu yao. Diamond anakwendabkibiashara ila si kwenda kuwakiliaha taifa kwa wimbo wa unanitekenyaga ukinyonga salome. Hakupaswa kupewa bendera Ridhiwani yupo sahihi
Bendera kama emblem ya Taifa haitolewi kwa footballers pekee na Mh Nape sio waziri wa mpira wa miguu pekee bali michezo kwa ujumla hivyo michuano ya CHAN inahusisha burudani ya muziki na Diamond kualikwa kama mburudishaji ni heshima kwa Taifa.
 
Nacho jua mimi daimondi,anaenda kazini tuu hivyo vingine ni mbweee tuuuu.
 
Hivi ukiwa na punda wako akikataa kubeba mzigo tena utamchukia?
 
Dayamond analipwaa fadhiraaa alizotoaa kwenye uchaguz ndo maanaaa viongoziiii Kila kukichaaa wAnamiminika wcb
 
Kwani shakira alipewa bendera 2010 kuiwakilisha Colombia !??
 
Kwani hapo tatizo ni nini? Bendela wa kupewa ni wachezaji wa mpira wa miguu tu. Hao wanamuziki sio Mtanzania? Au sijajua vizuri kuhusu anaetakiwa kupewa bendera!
 
.....Sijapata kuona Mijitu Minafiki Kama Mi-Bongo[emoji35] [emoji35]
 
Kuna:

1.Kitunguu maji
2.Embe maji
3.Tikiti maji
4.Chaina maji

Kama hujaelewa alichomaanisha Rizmoko hatuwezi tukakuweka kwenye hiyo list hapo juu kwa sababu wewe ni binadamu. Sasa kwa kuwa wewe ni binadamu 'automatikale' utakua 'umekwalifai' kuingia kwenye kundi la 'VICHWA MAJI'. Kwa sababu vigezo na nia ya dhati vyote unavyo.
 
Bendera anapewa mtu au kikundi cha watu au timu kwa ajili ya kuwakilisha nchi kwenge mashindano katika medani ya kimataifa.
Ingekuwa ni Africa Star Search hapo ingeeleweka. Kwani anaenda olympic huyo Dimond??? Ushamba kweli huu.. wanatuabisha kweli hawa jamaa.
 
Binafsi mi naona hakupaswa kupewa bendera....anaenda kutumbuiza na sio kushindana...

A
 
Watu wa nje ya nchi wangejua kiswahili halafu watafri wimbo wa mond wangetushangaa sana kumpa bendera ya taifa kutuwakilisha, fasih iliyotumika ikitafsiliwa ni matusi makubwa halafu waziri mzima anampa bendera.??? Lakin hata wazir ni kama ni wa design ile ile so tumwache tu.
Ridh katumia lugha ya kikubwa na sio rahis kumwelewa hapo
 
Anaposema bendera badala ya kupewa wanamichezo wanapewa waburudishaji sijaelewa! Kwani wanamichezo sio waburudishaji?
Mi nadhani jamaa alikuwa bize na madili sasa yamekata ndio ameshutuka anaanza kuparamia fani za wengine. Kwani burudani ni mpira tu? Hta mc pilipili ni burudani!
 
Kiongozi makini asingempa Diamond bendera yetu ya taifa.Afterall who is Diamond representing,the dark forces?
9f3989c1d544f24d181a8d479bbcb7a4.jpg


Kayasema Hayo Kwenye Account Yake Ya Instagram...

Je Ni chuki?.... Kutomkubali Nape ?.. kutomkubali Diamond au Basi Tu
 
Back
Top Bottom