- Source #2
- View Source #2
Kumekuwepo na taarifa zinazosambazwa kupitia mitandao ya kijamii, hususan Facebook, zikidai kuwa Ridhiwani Jakaya Kikwete ametangaza kuwa atagombea uraisi na kuwatumikia watanzanai mwaka 2030.
Hata hivyo, uchunguzi uliofanywa kwa kutumia vyanzo mbalimbali vya taarifa, umebaini kuwa madai hayo ni ya kupotosha. Hakuna ushahidi unaoonyesha kuwa Ridhiwani Kikwete amewahi kutangaza nia ya kugombea urais mwaka 2030 au kusema kuwa atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Aidha, kwa mujibu wa ratiba ya uchaguzi nchini Tanzania, uchaguzi mkuu ulifanyika Oktoba 2025, na uchaguzi mkuu unaofuata unatarajiwa kufanyika mwaka 2030.
Hata hivyo, mchakato rasmi wa kuwapata viongozi wanaogombea nyadhifa mbalimbali hutangazwa na INEC mara baada ya da wa uchaguzi kukaribia hivyo madai yanayomtangaza Ridhiwani Kikwete kuwa mgombea au Rais ajaye hayana msingi na yanapotosha umma.
Vilevile, uchunguzi umeonyesha kuwa nukuu inayosambazwa kwenye mitandao ya kijamii imebuniwa. Katika mikutano na shughuli zake za hivi karibuni,
Kando na hilo Ridhiwani Kikwete hajatoa kauli yoyote kuhusu kugombea urais mwaka 2030. Badala yake, amekuwa akijadili masuala mbalimbali ya kitaifa, ikiwemo masula ya Katiba na maendeleo ya demokrasia nchini.