Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Akizungumza leo Juni 1, 2026 jijini Dodoma wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha viongozi wa utawala na usimamizi wa rasilimali watu serikalini amesema baadhi ya changamoto hizo ni matumizi mabaya ya madaraka na ofisi, huku Ofisi yake ikiendelea kupokea malalamiko kutoka kwa watumishi kuhusu upendeleo katika upatikanaji wa fursa mbalimbali zikiwemo maslahi, mafunzo pamoja na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia.
Pia soma:
~ Waziri wa UTUMISHI afanye ziara kama Waziri Mkuu, Wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri nyingi ni 'Miungu Watu'
~ Mabosi Serikalini bwana, mtu anakaa na file wiki 2, hivi huwa mnayafanya nini?
~ TAMISEMI tembeleeni waajiriwa wenu kwenye vituo vya kazi hasa ajira mpya hawapokelewi vizuri