LGE2024 Ridhiwani Kikwete: Mapokezi ya Wananchi yanatoa ishara kuwa CCM itashinda kwa asilimia kubwa sana

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
590
Reaction score
807
Ridhiwani Kikwete: Nikiwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Pwani Cde. Mwinshehe Mlao Tumenadi Wagombea wa Chama Cha Mapinduzi katika kata ya Bwilingu pamoja na kuendelea kuimarisha Chama kwa kuzindua mashina mapya Manne (4) ya wanachama wakereketwa katika kitongoji cha Bwilingu. Mapokezi ya Wananchi yanatoa ishara kuwa CCM itashinda kwa asilimia kubwa sana. #KaziInaendelea #KampeniMtaa.

 

Attachments

  • IMG-20241126-WA0034.jpg
    553.1 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…