Ridhwani afunga ndoa!

Ridhwani afunga ndoa!

attachment.php

MNA KAUGONJWA KA KUCHEKAA NINI? MMEKARITHI KWA NANI?
 
Tuacheni ukabila na chuki kwa wachagga..watanzania wote ni sawa..na kila kabila lina sifa ya ziada..inawezekana kabisa kinadada wa kichagga hawajachezwa..lakini wakawa na elimu,juhudi na maarifa fulani ambayo muoaji yeyote ataipenda.....madhalani pia vijana wa kichagga wengi siku hizi wanaoa yeyote..kutokana na sifa wanazohitaji kwa mwanamke...ambazo wanafikiri wao au dada zao wanazikosa.....nafikiri kuoleana na kukomaa kwa umoja wa kitaifa!!!!

Inatakiwa tuwe wabaguzi wa kabila la wahindi tu maana wao ndiwo walioanza kutubagua tena ndani ya nchi yetu lakini makabila mengine tena acha ya tanzania ya Africa your welcome unatakiwa kumuoa yeyote na ukaishi popote lakini hawa wahindi, wee ngoja tu iko siku iddi amini atafufukia tanzania
 
AAAhhh we mzee wa buguruni..embu badilisha topic na siku nyingine uisje na topic kama iyo..unawakatia watu stimu ya kutoa mapoint mazito kwenye hoja za maana
 
Tuacheni ukabila na chuki kwa wachagga..watanzania wote ni sawa..na kila kabila lina sifa ya ziada..inawezekana kabisa kinadada wa kichagga hawajachezwa..lakini wakawa na elimu,juhudi na maarifa fulani ambayo muoaji yeyote ataipenda.....madhalani pia vijana wa kichagga wengi siku hizi wanaoa yeyote..kutokana na sifa wanazohitaji kwa mwanamke...ambazo wanafikiri wao au dada zao wanazikosa.....nafikiri kuoleana na kukomaa kwa umoja wa kitaifa!!!!

Juhudi, maarifa na elimu ni yale ya mama MKAPA kukomba EPA? au kumbuka Mkapa anaingia IKUILU alikuwa na pick up tu. na akatangaza mali zake leo hii hataki kusema kitu.
Salmin Amour analia na huko huko Moshi.
 
kijana oa mapema mambo yako yatakuwa fresh na status usiwe onja onja kama wengine(hahahaaa)mchaga good choice
 
Mimi naona watu wachache wameingia kwenye jambo forum kuanzisha umbea tuuu, nyinyi nani kawachunguza mmeoa kabila gani????????

Acheni umbea jamani hebu tujadilini vitu vya maana na vitakacholeta mafanikio kwa sisi watanzania kwa ujumla na sio udaku na umbea.
 
Any comment to this type of thread, whether criticising or entertaining, encourages the thread itself.

The only best answer for JF Members to do is to ignore the thread in totality by not posting any reply.

However, I am afraid by writing this message I am also a victim of my own ideology.
 
Haya ya nini hapa JF jamani>? mbona mnakuwa kama watoto? uchaga na uzaramo umefikaje hapa?
 
ufisadi connection? haya, tusubiri tuone if it's true...
 
Wakubwa salaam aleykum

Ninawashangaa sana kuanza kujadili watoto wanaooa na kuolewa katika forum kubw akama hii.

Mimi ningekubali kushiriki mjadala huo endapo tu ningeridhika kuwa kuoana kwa Ridhiwani na Huyo binti wa kichaga kunaleta msisimko fulani wa kisiasa na kijamii. Mathalan nijiridhishe kuwa Ridhiwani akiwa kada wa CCM anamwoa binti mchaga ambaye ni kada asiyebadilika kirahisi wa CHADEMA. Au kwamba yeye kama Muislamu anamwoa mkristo tena mlokole.

Kwa hiyo kama mwanajamii nisubiri kusikia nani anayefuata dini ya mwenzake. Je mwisilamu ataokoka
NA
Je yeye Ridhiwani akiwa kada wa CCM kwa ajili ya NDOA atarudisha kadi yake kwa Freeman ili aungane na mke wake wawe mwili mmoja?

Waheshimiwa kama mjadala hauhusu hayo mambo mawili nasikitika kuwaambia kuwa mjadala huo hautakuwa na tija.

Alamsiki
 
hivi jamani shughuli ipo au hakuna maana hii habari ililetwa muda mrefu kidogo

ni vizuri kuona mwenzetu anaachana na ukapera
 
hivi jamani shughuli ipo au hakuna maana hii habari ililetwa muda mrefu kidogo

ni vizuri kuona mwenzetu anaachana na ukapera

...nami namtakia kila la kheri sana tu, hasa kufuatana 'latest' picha za Bi Arafa na mwaliko kuwa (Reception) sherehe itafanyikia Ikulu!

...hii ni kitchen party ya mchumba wa Ridhwan Kikwete

ilifanyika Diamond Jubilee

Harusi ni ijumaa 22nd Blue Pearl Hotel

Reception jumamosi Ikulu

KARIBUNI RECEPTION IKULU JUMAMOSI!!!!!!!!!!!
 
sie wazaramu sijui tutamka lini.
Btw

ridhwani anamwoa yule binti wa kichagga mimi kusema ukweli siwezi saari za kupanda treni.tulishampa yule binti wa kutoka tanga ambako angepewa theory an practical lakini wapi siio la kufa halisikii dawa.

Mie nishamwambia mtawa miguuu yangu mibovu siwezi kwenda moshi, milima mingi sana kule

sijui nyie mnaonaje kuhusu hili la moshi?

Cha ajabu sijui kama huyo binti mwenyewe keshachezwa

leta mada nyengine
achana na kabila hilo kabisa
 
Ni jambo la muhimu sana kulijadili hapa.

Mkapa alikuwa mtiifu sana hana rushwa alipooa Machame matokeo yake tunayaona. hadi EPA mama Mkapa kafanyiza. sifa nzuri zote za mkapa zimehabiriwa.

FYI, Anna Mkapa sio Mmachame.... ni mchagga wa Old Moshi
 
Back
Top Bottom