kingabdiel
Member
- Mar 7, 2008
- 31
- 2
Tuacheni ukabila na chuki kwa wachagga..watanzania wote ni sawa..na kila kabila lina sifa ya ziada..inawezekana kabisa kinadada wa kichagga hawajachezwa..lakini wakawa na elimu,juhudi na maarifa fulani ambayo muoaji yeyote ataipenda.....madhalani pia vijana wa kichagga wengi siku hizi wanaoa yeyote..kutokana na sifa wanazohitaji kwa mwanamke...ambazo wanafikiri wao au dada zao wanazikosa.....nafikiri kuoleana na kukomaa kwa umoja wa kitaifa!!!!

Mimi naona watu wachache wameingia kwenye jambo forum kuanzisha umbea tuuu, nyinyi nani kawachunguza mmeoa kabila gani????????
Acheni umbea jamani hebu tujadilini vitu vya maana na vitakacholeta mafanikio kwa sisi watanzania kwa ujumla na sio udaku na umbea.
hivi jamani shughuli ipo au hakuna maana hii habari ililetwa muda mrefu kidogo
ni vizuri kuona mwenzetu anaachana na ukapera
...hii ni kitchen party ya mchumba wa Ridhwan Kikwete
ilifanyika Diamond Jubilee
Harusi ni ijumaa 22nd Blue Pearl Hotel
Reception jumamosi Ikulu
KARIBUNI RECEPTION IKULU JUMAMOSI!!!!!!!!!!!
sie wazaramu sijui tutamka lini.
Btw
ridhwani anamwoa yule binti wa kichagga mimi kusema ukweli siwezi saari za kupanda treni.tulishampa yule binti wa kutoka tanga ambako angepewa theory an practical lakini wapi siio la kufa halisikii dawa.
Mie nishamwambia mtawa miguuu yangu mibovu siwezi kwenda moshi, milima mingi sana kule
sijui nyie mnaonaje kuhusu hili la moshi?
Cha ajabu sijui kama huyo binti mwenyewe keshachezwa
Ni jambo la muhimu sana kulijadili hapa.
Mkapa alikuwa mtiifu sana hana rushwa alipooa Machame matokeo yake tunayaona. hadi EPA mama Mkapa kafanyiza. sifa nzuri zote za mkapa zimehabiriwa.
FYI, Anna Mkapa sio Mmachame.... ni mchagga wa Old Moshi