Ridhwani afunga ndoa!


Kwa kweli maharusi wa mwezi huu mnapendeza....

Mi sioni ubaya huyu kijana mwenzetu kuoa hata akioa mchaga/mzaramo/mhaya wote ni watanzania!! lets not bring tribalism katika masuala social kama haya!!

ila duh.....huyu binti naona kama yuko kwenye ari mpya - nguvu mpya! (nahisi keshaanza kula udongo)
 





bwana we huyo ridhwani aowe mmakonde mzaramu hata kilema atajiju mwenyewe si wala hayatuhusu.sisi tudiscuss mambo ya maana
 
Mkuu IVUGA Ucelebrity wa Ridhiwan upo wap? Na ktk hzo picha 2, mwenye mtoto na ya harusi, mke halisi yuko wap?
 
ni mke wa ngapi??????like father like son!aghhhhhhhhhhhhhhhhhhh ovyooooooooooo
 
Inshaalah Allah awafanyie wepesi na wenye macho ya HUSDA awaondoshee

I thought Ridhwani kaop[oa mwarabu kama Iddi Janguo

anyway hongera sana Ridhwani kilichobaki sasa after 5 months Arafa aanze kula udongo

Hawa wakisasa hawali udongo wala ndimu, utasikia "Honie nina hamu na burger, sausage, pizza kubwa, kitimoto kila mbili etc........."
 
Mod angalizo tufungie hii post kwanza ni ya kibaguzi pili privacy ya mtu tatu wengine tukiona hilo jina twasikia kichefuchefu sasa si vyema tukateseka wakati kuna soln
msaada kwenye tuta mod
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…