DMussa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2007
- 1,310
- 296
itakuwa too soon hebu tumpe muda kidume then tutajua by April next year mana kama muonavyo hapa bwana Iddi naye a likuwa na presha sana kwenye hilo na matunda tushayaona
![]()
Wazaramo kwa Rangi rangi tuuu...hawana mshindani but i can understand, mikorogo imepanda bei sasa ya nini kuingia gharama ili hali weupe orijino wapo?
sasa inabidi DVD zote za kihindi ziondolewe mpaka hapo bi Arafa atakapoanza kusikia kichefu chefu ama sivyo Sinema za masaa 3 zitakuwa kisingizio
Na kama mimi ningekuwa Ridhwani na kazi namwachisha kabisaa...najua wengi mtaanza kumind lakini potelea mbali haiwezekani kwenye kasri wakawepo masultani wawili
Lakini asifanye haraka maana ndugu wa upande wakike wasijemjia juu bure...Ridhwani avute time kisha amwambie kuwa kutokana na sababu za kiusalama itabidi aache kazi na awe full time mama wa nyumbani huku Mwinyi Ridhwani anakuwa kazi yake kutafuta rizki na kama in other words Arafa atakuwa hagombwi akigombwa atapewa first class ticket ya Emirates to Dubai akafanye shopping
sasa mwenye wivu akajinyonge
![]()
Kwa kweli maharusi wa mwezi huu mnapendeza....
Mi sioni ubaya huyu kijana mwenzetu kuoa hata akioa mchaga/mzaramo/mhaya wote ni watanzania!! lets not bring tribalism katika masuala social kama haya!!
ila duh.....huyu binti naona kama yuko kwenye ari mpya - nguvu mpya! (nahisi keshaanza kula udongo)