Ridhwani: Jakaya Kikwete yupo salama wa afya nyingi, hana tatizo la kiafya

Corticopontine

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2019
Posts
666
Reaction score
1,277
Ridhwani Kikwete: Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dr. @jmkikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa.

Ridhwani.PNG

PIA SOMA
- Jakaya Kikwete ashiriki mahafali ya 51 ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Leo Mei 27, 2021. Humphey Polepole naye afanikiwa kuhitimu
 
Usinikumbushe mbali, majuzi tu Kasim Majaliwa aliulizwa JPM yuko wapi akasema kama uliyoyasema ya JK. Ilipofika tar 17.3.2021 yakawashinda wakatangaza kinyume chake. JK ana mdomo wa kuongea tunasibiri ajibu hoja mitandaoni sio kusemewa.
 
Ridhwani Kikwete: Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dr. @jmkikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa.
Kufika 2025 hakuna CCM, hata mwenge wenu mnaowalogea watz wanyonge hautasaidia.
 
Ridhwani Kikwete: Baada ya kupokea Simu na Jumbe mbalimbali nimeona nitumie nafasi hii kuweka kumbukizi sawa. Mzee wetu na Mzazi wetu Dr. @jmkikwete yupo salama wa Afya Nyingi sana. Hana tatizo lolote kiafya na anaendelea na majukumu yake. Taarifa za aina yeyote ni za Kipuuzi na za kupuuzwa.
Kumbe na yeye alisikia kuwa Mze alipaliliwa na bangi majuzi mpaka wanazusha kuwa kalazwa na kachanganikiwa akili kwa ajili ya uvutaji bangi. Ila kumuamini Ridhiwani ni kazi pia maana jamaa anajiita muislam mzuri lakini ni muuza unga mzuri tu.
 
Kigogo anasemaje?
 
Khaa! khaa! Kwani waislamu hawauzi unga?,au hawapaswi kuuza unga? Watu wanataka kula ugari, maandazi, mikate, n.k.inatokana na Unga sasa wasipouza tutaishije?
 
Duh...!

Kauli ya mwanae inatosha iheshimiwe.
Hahaha mkuu mbona unakuwa mwepesi sana kusahau? Kumbuka ile kauli iliyotolewa msikitin kuwa "Chuma kipo ofisini kinachapa kazi", au ile ya "JPM yupo na anawasalimia sana" kama hiyo haitoshi, kuna ile kubwa kuliko "Ni kawaida mtu kukaguliwa kaguliwa".

Katika taarifa kama hizi,inapendeza zaidi mlengwa alijitokeza akasema.
 
Kauli kama hii iliwahi kutolewa na waziri mkuu.
Yule alikuwa Waziri Mkuu wa awamu ya 5.

Rais mstaafu Kikwete hajawahi kuwa msiri wa afya yake. Kabla ya Kikwete kuugua na kwenda kutibiwa US, ulikuwa unaufahamu ugonjwa unaoitwa tezi dume? Kikwete hajawahi kuficha maradhi. Hata alipokuwa anaenda US kutibiwa na aliporudi, alilitaarifu taifa zima.
 
Back
Top Bottom