Hata ukiishi chato sawa
Samia bado hajatamhua hili, bado amewakumbatia watendaji wa mwendazake.Uzushi uliosambaa wiki hii kuhusu mh Jakaya Kikwete kuwa amekufa, ni kiashiria tosha kinachoonesha Kikwete yumo hatarini hatari ya kuuliwa.
Toka kifo Cha pombe, Kuna kundi lilijitokeza na kusema Kikwete anahusika.
Kama nakumbuka vizuri, wakati Lissu alipokwenda chaguliwa kuwa Rais wa TLS kule Arusha, palitokea uvumi kuwa Lissu amepigwa risasi huko Arusha.
Ikaelezwa kuwa Noah nyeusi ilisimama mbele ya jengo la mkutano alipotoka akapigwa.
Haikupita muda mrefu, Lissu akaanza kulalamika kufuatiliwa na watu kila aendako.
Haikupita muda akapigwa risasi huko dodoma.
Ifahamike kuwa ndani ya ccm kundi la mwendazake lipo na ni kundi hatari Sana.
Rais Samia Suluhu Hassan amuongezee ulinzi mheshima kikwete vinginevyo tukicheka na nyani tutavuna mabua
Mods uzi huu msiufute, unamaana na faida kwa taifa
Uliposema unaishi nje ya nchi inatuhusu nini, vipi kisimbuzi hakisomi card?Maisha yangu hayakuhusu, ila huenda ni mazuri kuliko yako mara kumi au zaidi kwa vile unaandika mambo ya mtu asiyekuwa na nyuma wala mbele, wala hafikiri chochote bali kulaumu na kutukana tu.
Kweli jamaa kama aliweza kutembea kutoka Monduli saa sita usiku hadi.....unamfahamu kikwete au unasimuliwa yaani kikwete tofauti nahao migambo waliofarik(waliopitia jeshi kwamujibu).
Pumba tupu!Uliposema unaishi nje ya nchi inatuhusu nini, vipi kisimbuzi hakisomi card?
Ni kweli kama Mungu hasipokulinda wakulindao wanafanya ulinzi husio na sababu.Mimi naamini siku ikifika utakwenda Tu.
Uwe na walinzi usiwe na walinzi
Utakuwa miongoni Mwa wapanga uovuVile vile anahitaji kuendesha maisha yake baada ya kustaafu kwa busara. Asifanye kama vile alistaafu bila kupenda na sasa amepata nafasi ya kurudi madarakani kivyakevyake ghafla baada ya kifo cha mwendazake. Kiongozi mwenye busara anatakiwa awe makini kuliona hilo na kupima spidi zake za kurudi kwenye politics wakati huu.
Mtaani wengine mbona hatulioni hili?Wapuuzi Tanzania ni wengi mkuu anaweza akapigwa hata shaba maana wanaoamini kuwa kikwete anamkono kwenye kifo Magufuli ni wengi mno huku mitaani.
Usimuamini sana Kigogo, yule ni mtu wa mihemko tu....mara nyingi hayuko sahihi.Kigogo anasemaje?
Kumbe alikuwa hajachanganikiwa, bangi kaacha?Hawa ni watani wa mzee! Wanyamwezi hawa!!
Kwa faida ya wapenda hakiNakataa katu katu, Kikwete alindwe kwa misingi ipi na kwa faida ya nani?
Mungu ndie uruhusu mchawi au shetani akudhuru asipotaka upo salama.Rejea kisa cha Ayubu kupimwa imani.Ni kweli kama Mungu hasipokulinda wakulindao wanafanya ulinzi husio na sababu.
Tulimshauri Sana mama hili aondoe toxin zote aunde safu yake.Hao jamaa bado wanahasira awaamini ukuu wa Mungu.Mfano mtu alichukua mkopo mkubwa bank akiamini mwendazake atatawala milele leo hana uhakika wa hatima yake na atulipaje mkopo,ukiona kina sabaya wanalia sio Wana huzuni bali ulilia hatma ya maisha yao itakuaje sasa na Kinga imeondoka.Samia bado hajatamhua hili, bado amewakumbatia watendaji wa mwendazake.
Alitakiwa afumue safu yote kuanzia mfagia uwanja mdeki choo mpaka DG TISS, IGP na CDF...
Na wengine wanaamini kifo cha Mwl Nyerere kina mkono Wa Benny mana Mwl alionekana kikwazo kwa Benny ktk kutimiza misheni zake za upigaji Wa ma ten percent!Pia wapo wanaoamini kifo Cha mkapa kina mkono wa magufuli kwakuwa alikuwa kikwazo Cha kuongezwa muda wa utawala wake
Atakuja elewa akiwa amechelewaTulimshauri Sana mama hili aondoe toxin zote aunde safu yake.Hao jamaa bado wanahasira awaamini ukuu wa Mungu.Mfano mtu alichukua mkopo mkubwa bank akiamini mwendazake atatawala milele leo hana uhakika wa hatima yake na atulipaje mkopo,ukiona kina sabaya wanalia sio Wana huzuni bali ulilia hatma ya maisha yao itakuaje sasa na Kinga imeondoka.Mtu kama veronica france alitegemea ruzuku milioni 60 KILA mwezi ya kutukania wastaafu, viongozi wa dini,nk leo imeota mbawa ununue usinunue gazeti zake lazima zitoke leo atakupendaje sasa.