rama bendu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 310
- 220
Nimemuelewa
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ameponda Diamond na Ali Kiba kuwa na bifu akisema zinaweza kusababisha madhara makubwa akitolea mfano bifu ya Tupac na notorious big
Pia amesema mzee wake anapenda muziki lakini wa zamani ila wasanii wa bongo flava alikuwa akikutana nao kwa kuungabishiwa na yeye
Khaaa[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Si kiidogo aisee. Kaanza kunena kwa lugha nini!.Jembeliko Unazingua
Tutajuaje kama anafuatilia music industryAmeonyesha ujuha wa hali ya juu. Amekurupuka ili kuonyesha naye bado yupo nchini kama mheshimiwa. Katika mambo yote nchini ambayo yana umuhimu mkubwa wa kuyazungumzia hili ndiyo kalipa kipaumbele! Kweli akili ni nywele....
Amesema kwamba yeye ndo alikuwa anawaunganisha wasanii kwa mzee wake ndo maana wakawa wanapata mwaliko kuonana na rais Jk.Ameonyesha ujuha wa hali ya juu. Amekurupuka ili kuonyesha naye bado yupo nchini kama mheshimiwa. Katika mambo yote nchini ambayo yana umuhimu mkubwa wa kuyazungumzia hili ndiyo kalipa kipaumbele! Kweli akili ni nywele....