Ridhwani Kikwete awaponda Diamond na Ali Kiba, awapa onyo

Ridhwani Kikwete awaponda Diamond na Ali Kiba, awapa onyo

Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete ameponda Diamond na Ali Kiba kuwa na bifu akisema zinaweza kusababisha madhara makubwa akitolea mfano bifu ya Tupac na notorious big

Pia amesema mzee wake anapenda muziki lakini wa zamani ila wasanii wa bongo flava alikuwa akikutana nao kwa kuungabishiwa na yeye

Nimemuelewa
 
Huyu bwana hajui chochote kuhusu muziki....

Akacheze anapochezaga.
 
Inawezekana diamond clip, Kibakuli blood. Salamm Suge, manager wa kiba pdidy.
 
Ameonyesha ujuha wa hali ya juu. Amekurupuka ili kuonyesha naye bado yupo nchini kama mheshimiwa. Katika mambo yote nchini ambayo yana umuhimu mkubwa wa kuyazungumzia hili ndiyo kalipa kipaumbele! Kweli akili ni nywele....
Tutajuaje kama anafuatilia music industry
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Ni sawa na zile kampa kampa tena za Barca uzifananishe na vyura hawa wa jangwani. TUSIPENDE KUFANANISHA ISHU ZA MSING NA MAMBO YA KIJINGA.
 
Ameonyesha ujuha wa hali ya juu. Amekurupuka ili kuonyesha naye bado yupo nchini kama mheshimiwa. Katika mambo yote nchini ambayo yana umuhimu mkubwa wa kuyazungumzia hili ndiyo kalipa kipaumbele! Kweli akili ni nywele....
Amesema kwamba yeye ndo alikuwa anawaunganisha wasanii kwa mzee wake ndo maana wakawa wanapata mwaliko kuonana na rais Jk.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
huyu nae amechanganyikiwa na nini tena? huu mgogoro wa hawa machalii ni kero mojawapo ya wanachalinze? Au anajaribu kufurukuta tu maana awamu hii yupo kama toto wa kambo.
 
Back
Top Bottom