Rigathi Gachagua adinda kujiuzulu, asema bila yeye Ruto asingeingia Ikulu

Tatizo wanasiasa wa Kenya hawajui "kumalizana" kwa ndumba na ajali za barabarani. Wanategemea kanisa. Gachagua amkodi tu Faustine Mafwele akamalize hiyo kazi. Ruto atashushwa kwenye ndege mchana kweupe na kesho yake mwili utaokotwa kwenye mashamba ya miwa huko Siaya.
 
Mkurugenzi wa Mashtaka ya Umma (DPP), Renson Ingonga ameidhinisha mashtaka dhidi ya watu watano kwa madai ya kupanga, kuhamasisha na kufadhili maandamano ya kupinga serikali yaliyoongozwa na vijana mwezi Juni.

Barua iliyotumwa kwa Mkurugenzi wa Idara ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), Amin Mohamed, DPP aliidhinisha kwamba watu hao ambao ni washirika wa Naibu Rais, Rigathi Gachagua wakabiliwe na mashtaka.
 
Afrika Ina safari ndefu sana , Kama Kenya walitengeneza katiba mpya na bado kuna uhuni kwenye siasa ni masikitiko makubwa.
 
Huyu keshakula chuma tena ajiandae kuishi kwa aibu. Yale maneno ya shombo aliyokua anayatoa yote yatakua yanamrudia kwenye njozi. Hataacha kuweweseka. Wakenya wameamua kumstaafisha bila hiari 🀣🀣🀣🀣🀣🀣. Kituo fuatacho ni Ruto mwenyewe.
 
Kwa namna wanasiasa Kenya wanavyopenda pesa. Riggy G yupo Sana. Pesa itagawawia Kwa wabunge na Maseneta na watabadili Gia angani. Njaa mbaya
 
Pona Yake Riggy atumie pesa za wakikuyu kutoa hongo kwa Maseneta (Seneti)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…