View attachment 1197028Mtwara: Haya ni maji yanayosambazwa na idara ya maji Mtwara - JamiiForums
Inasemekana mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) hawana chujio la maji hivyo maji yanatoka yakiwa na hali hii. Wizara ya Maji tafadhali tusaidieni chujio haraka sisi pia ni Watanzania wenye thamani sawa na wakazi wa miji mingine. Wakazi wa Mtwara poleni sana...www.jamiiforums.com

Haiingii akilini wataalam kuruhusu maji ya aina hiyo kutumika ukizingatia uwekezaji mkubwa uliofanyika.
Kwa vile jirani zetu wanashida au tatizo la maji, isiwe sababu ya kutokubali kwamba na sisi tuna tatizo mahali kwa wataalam kutokuchukua hatua stahiki kurekebisha hili tatizo la kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama.
SindigaShida ni kuwa hao majirani ndio walioleta huu uzi, Tatizo la wataalamu ni dogo kuliko tatizo la huko kwao middle income Kenya ambako watu wanashea maji na mifugo
View attachment 1197177
source?
This may be only a problem with the source, sioni Tatizo hapa, at-least they have a water system unlike these people in Middle inkamu Economy Of Kunyaland
View attachment 1197157Huyu naye vipi? Ushabiki unakutia upofu!
Can you prove that is Singida?
Shida ipo ata Tanzania, usijitie hamnazo! Suluhu ni tufanye serikali zetu kuwajibika!Help End Water Scarcity in Tanzania
Getting clean water in Tanzania Alec Wong Thousands of children die every year from contaminated water in Tanzania. The water is...www.smore.com
Hilo swali muulize.Sasa mbona mleta uzi kafungua uzi kuhusu Tz na sio kuhusu kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo swali muulize.
Kwenu ndio mnatia huruma zaidiHatari sana, inatia huruma...
source?
Can you prove that is Singida?