mwaswast
JF-Expert Member
- May 12, 2014
- 12,780
- 6,480
Mtwara: Haya ni maji yanayosambazwa na idara ya maji Mtwara - JamiiForums
Inasemekana mamlaka ya maji safi na usafi wa mazingira mjini Mtwara (MTUWASA) hawana chujio la maji hivyo maji yanatoka yakiwa na hali hii. Wizara ya Maji tafadhali tusaidieni chujio haraka sisi pia ni Watanzania wenye thamani sawa na wakazi wa miji mingine. Wakazi wa Mtwara poleni sana...