Right track Mtwara

Right track Mtwara

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Posts
12,780
Reaction score
6,480
download-1.jpg
 
Tanzania ya maji safi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Cc: joto la jiwe
Najua huwez onekana hku...manake katika zile points zako za kuipamba ccm hukosi maji safi[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
View attachment 1197028
 
View attachment 1197028

This may be only a problem with the source, sioni Tatizo hapa, at-least they have a water system unlike these people in Middle inkamu Economy Of Kunyaland
IMG_8653.JPG
 
Haiingii akilini wataalam kuruhusu maji ya aina hiyo kutumika ukizingatia uwekezaji mkubwa uliofanyika.

Kwa vile jirani zetu wanashida au tatizo la maji, isiwe sababu ya kutokubali kwamba na sisi tuna tatizo mahali kwa wataalam kutokuchukua hatua stahiki kurekebisha hili tatizo la kuhakikisha wananchi wanapata maji safi na salama.
 
Shida ni kuwa hao majirani ndio walioleta huu uzi, Tatizo la wataalamu ni dogo kuliko tatizo la huko kwao middle income Kenya ambako watu wanashea maji na mifugo
IMG_8656.JPG
 
Sasa mbona mleta uzi kafungua uzi kuhusu Tz na sio kuhusu kenya [emoji23][emoji23][emoji23]
Shida ipo ata Tanzania, usijitie hamnazo! Suluhu ni tufanye serikali zetu kuwajibika!
 
Back
Top Bottom