Rihanna aula kwa kupata bwana tajiri

Pamoja na hayo huyu USTADH atakubali huyo kifyetu wake apande jukwaani nusu uchi?

Hawa watu wana vituko kweli. Rianna atatulia kweli
Huyo ni playboy tu uarabuni matajiri na viongozi serikalini ndio wanaitwa Sheikh haijalishi ni mtu wa ibada sana au la
Alishatembea na Naomi Campbell na sasa Naomi na ri hawaongei
 
Reactions: SDG
Mtaro kutifuliwa naona utahusika hapo. Mbele ya Mwarabu wa dubai mwenye maadili ya David Cameroon.

Makuwadi washafanya biashara saa hizi wanagonga mvinyo tu.
 
Madem wetu Wa huku ukiwatokea tu anakutafuta hadi awe anayo shida na utaskia baby nna shida ya laki 5, baada mle kwanza good time vibom baadae....
 
Huyo ni playboy tu uarabuni matajiri na viongozi serikalini ndio wanaitwa Sheikh haijalishi ni mtu wa ibada sana au la
Alishatembea na Naomi Campbell na sasa Naomi na ri hawaongei
Yah ndivyo wanavyoitana hivyo sio tu viongoz hata wazaz wa kiume huwa wanawaita hivyo vijana wao wa kiume sheikh flan
 
Hicho ndicho ninachowapendea waarab wa dubai maadil kwao zero yaan hawabagui hawachagui wao twende kazi any way ila namsikitikia kwa kujipatia baby mwenye pesa ila mashine ya kusaga kukoboa na umwagiliaji haitamtosha mashine zao ndogo sana yaan
Huyu mwarabu wa SAUDIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…