Rihanna aula kwa kupata bwana tajiri

Rihanna aula kwa kupata bwana tajiri

Hapo hamna ndoa.... Waarabu ni mijitu ya hovyo sana... Hapo ukute ndugu zake wa karibu wanamwambia achana nae huyo kafiri.....
Kama isingekuwa kutokana na Rihanna tungemuongelea nini James pamoja na mamillioni yake?
 
Janeth alikimbizwa na nini,maana walizaa wale
Nasikia alikimbizwa na "MUHOGO" tu basi...si unajua waarabu wanatumia sana maziwa ya ngamia?so wanakua na vitu sii chini ya 13" na very strong....!
 
Tigo inahusika... Huyo mwarabu ataliwa hela hapo hadi achanganyikiwe
 
Hawa ma-celebrity huwa hawadumu kwenye ndoa cjui ni kwanini,hata hivyo ajiandae kuliwa dubuly cuz waarab wanapenda sana hyo k2
 
Mmmh dalili za Janet Jackson naziona, its all about the benjamins!
 
Gold digger kazini. Huyu mwarabu amuulize kinachoendelea mwenzie aliyemuoa Janet Jackson, hawa watu hata wakiwa na mijimilioni yao bado hawana mapenzi ya kweli, wameweka maslahi mbele tu.


Yeye kafata Uchi kwa kuwa ndio Ana uhakika nao 100%, hayo Mapenzi ni Siri ya kwny Moyo huwezi Jua Kama anakupenda au anakuzuga
 
Aisee ngoja niongeze bidii ya kusaka chapaa..

Nataka nije kudate na lulu wa majay
 
Kwa kifupi, acheni nongwa

Kwanza someni CV ya Huyo mwarabu, kwanza mtajua ni msela na mtu wa kujirusha sana. Msijifanye mnamsaidia eti amuache Riri kwakua ni gold digger.
Haiingii akilini riri atampataje kijana mtaratibu wakati ye mwenyewe ni mtu wa kujirusha.
These two worlds dont work. They say birds of the same flock fly together.
So Riri anataka rude boy sio watoto wa mama.

Ndio maana mwarabu alishabanjuka na naomi cambel ambaye aliwahi kua mpenzi wa mike tyson na p.diddy wakati fulani wayback.

So mwarabu naye ni muhuni kama
Wengine. Na jangwa bado linatoa kiwese. Na ndio maana alipomuona alijua
Amepata type yake.
Huruma zenu pelekeni mahospitalini.
 
Back
Top Bottom