Mathias Raymond Nyakapala
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 2,181
- 1,493
Kama isingekuwa kutokana na Rihanna tungemuongelea nini James pamoja na mamillioni yake?Hapo hamna ndoa.... Waarabu ni mijitu ya hovyo sana... Hapo ukute ndugu zake wa karibu wanamwambia achana nae huyo kafiri.....
Sina mi hela mkuu,mi hela sio kigezo ilaUna mihela????
Masheikh wetu wa Tanzania wameridhia?
Nasikia alikimbizwa na "MUHOGO" tu basi...si unajua waarabu wanatumia sana maziwa ya ngamia?so wanakua na vitu sii chini ya 13" na very strong....!Janeth alikimbizwa na nini,maana walizaa wale
Hela ndo kigezo usibishe ....mcheki mzee meng na k lynSina mi hela mkuu,mi hela sio kigezo ila
we nitake radhi yaaan katika binadamu sitaki kuwasikia kwa sasa huyo ni nambari mokoUtakutana nazo vipi wakati uko busy kumpigia makofi mh msukuma
Aaaah samahani mkuu nilikufananisha na mtu mmoja hivi, jina lake linaanza kama lakowe nitake radhi yaaan katika binadamu sitaki kuwasikia kwa sasa huyo ni nambari moko
Gold digger kazini. Huyu mwarabu amuulize kinachoendelea mwenzie aliyemuoa Janet Jackson, hawa watu hata wakiwa na mijimilioni yao bado hawana mapenzi ya kweli, wameweka maslahi mbele tu.
hahahaaa kwakweli mkuu utakua umefananishaAaaah samahani mkuu nilikufananisha na mtu mmoja hivi, jina lake linaanza kama lako
Njoo kwangu mwaya utulie.Sis tutaendelea kupata tu vibaka
Alishawah kuwa na Naomi
Kajitahid kuwspanga mastar ukifuatilia historia yake atakuwa hajakulia saudiaAlishawah kuwa na Naomi
Tena Naomi kamu unfollow Rihanna kwenye social networks zote sijui wivu nayy looh[emoji1]Maisha mafupi sana acha atumbue.Huyu kaka aliwahi kuwa mpenzi wa Naomi Campbell