Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Hivi majuzi Rihanna alikuwa amepost picha akiwa amevaa nguo za Masista wale wa kiroma.Watu wengi Sana wamemponda wengine kusema hana heshima.Wengine kusema anadhalilisha ukristo.
Watu ilibidi waelewe kwanini Rihanna kaamua kuvaa vile na sio kuleta makasiriko yasiyo na maana.