Rihanna Hana makosa kuvaa nguo za Masista

Rihanna Hana makosa kuvaa nguo za Masista

Siasa zinakupa ujinga ,maisha ya watu wewe uponde ili upate nn ? Kama hufuati achana nayo ..Hizo mentality zako za kisiasa utakuja kupata tabu sio kila kitu cha kukosa

Ona vita kubwa duniani kwa kuingilia maisha ya wengine kujifanya unajua ...Kukosa hekima na kutojitambua ndio chanzo cha kuleta umuhimu kweny maisha ya watu ...Fanya yanayo kuhusu .!
Una-catch feelings haraka sana.

Dini zinaongozwa na binadamu, hata kama mnaaminishwa ni kwa divine inspiration.

Na as long as mwanadamu anahusika lazima tu kutakuwa na weaknesses: ulawiti, mauaji, ugaidi, n.k.

Yote haya yanazifanya ziwe vulnerable na zistahili kukosolewa, kudhihakiwa, kupondwa, n.k.

Hebu kuwa rational, acha kuona mambo kwa hisia.
 
Una-catch feelings haraka sana.

Dini, hata kama unaamini zinaongozwa kwa divine inspiration, bado mwanadamu anahusika.

Na as long as mwanadamu anahusika lazima kutakuwa tu na weaknesses: ulawiti, mauaji, n.k.

Yote haya yanazifanya ziwe vulnerable na zistahili kukosolewa, kudhihakiwa, kupondwa, n.k.

Hebu kuwa rational, acha kuona mambo kwa hisia.
Rihanna angelamba lips tu hizo zilizonona alafu kuwe km kuna katone ka damu kanamdondoka hivi mdomoni ingekua mutafaruku zaidi
 
Back
Top Bottom