Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Huna Sadaka sasa utamtolea Mungu nini MAHINDI ya kuchemsha?Hana sadaka.Anaona soo kutinga church chukuchuku.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna Sadaka sasa utamtolea Mungu nini MAHINDI ya kuchemsha?Hana sadaka.Anaona soo kutinga church chukuchuku.
Basi nimeshakumbuka nakuja nayo nitaku-mentionJana nilikuambiaje?
Huyo ni kama Cain.Atatoa maparachichi na matobholwa.Anaita vipaji vya utamadunisho.Huna Sadaka sasa utamtolea Mungu nini MAHINDI ya kuchemsha?
Alafu Mungu akamkataa na Matobholwa yake yaliyoozaHuyo ni kama Cain.Atatoa maparachichi na matobholwa.Anaita vipaji vya utamadunisho.
Akaanza kulia na kuitoroka nchi akaoe wa mataifa.Alafu Mungu akamkataa na Matobholwa yake yaliyooza
Kuna labda taifa lolote ambalo limeweka zuio kisheria uvaaji wa hayo mavazi?
Hivi majuzi Rihanna alikuwa amepost picha akiwa amevaa nguo za Masista wale wa kiroma.Watu wengi Sana wamemponda wengine kusema hana heshima.Wengine kusema anadhalilisha ukristo.
Watu ilibidi waelewe kwanini Rihanna kaamua kuvaa vile na sio kuleta makasiriko yasiyo na maana.
SIO wote ni mabikra hicho ni chakula cha madhahuni kinatakiwa kiwe kitakatifu,Tunaambiwa wanaova wanaambiwa wawe mabikra siku wakaguliwe
😂😂😂 Balaa lilimkuta Ardhi inamlilia kwanini kamsambaratisha nduguyeAkaanza kulia na kuitoroka nchi akaoe wa mataifa.
Unajua sababu za vurugu ni nn duniani? Usipende kuingilia maamuzi ya watu ,unaweza kuwa sawa kwako ila kuingilia mambo ya watu ndio tatizo.Una-catch feelings haraka sana.
Dini zinaongozwa na binadamu, hata kama mnaaminishwa ni kwa divine inspiration.
Na as long as mwanadamu anahusika lazima tu kutakuwa na weaknesses: ulawiti, mauaji, ugaidi, n.k.
Yote haya yanazifanya ziwe vulnerable na zistahili kukosolewa, kudhihakiwa, kupondwa, n.k.
Hebu kuwa rational, acha kuona mambo kwa hisia.
Hakuna.Hata akina baba wanaruhusiwa kuvaa.Kuna
Kuna labda taifa lolote ambalo limeweka zuio kisheria uvaaji wa hayo mavazi?
Je, bible ya Waroma ina msitari unaokataza mtu asiye kuwa mtawa kuvaa hayo mavazi?
Je,kuna zuio mahala popote lilopo kisheria ama kiimani kwa mtu asiyekuwa Mroma kuvaa hayo mavazi?
Kama hakuna vielelezo vya hayo maswali yangu niko pamoja na Rihana.
Mbona wewe unaingilia maamuzi ya watu ya kukosoa, kudhihaki na kuponda?Unajua sababu za vurugu ni nn duniani? Usipende kuingilia maamuzi ya watu ,unaweza kuwa sawa kwako ila kuingilia mambo ya watu ndio tatizo.
Vita vyote vinasababishwa na hayo mambo ya kuleta ujuaji mbele ya watu wengine.
Kiimani kwa Wakiristo imekatazwa kwa mtu yeyote kuvaa mavazi yasiyokuwa ya jinsia yake.Hakuna.Hata akina baba wanaruhusiwa kuvaa.
NB;Hivi bikini/g-string kuna sehemu imeandikwa ivaliwe na akina nani tu?
Nadhani hata wewe unaweza kuvaa nguo za mganga wa kienyeji/mufumu/mchawi/mlogi.Mbona hakuna sehemu iliyokatazwa?Au siyo?Kiimani kwa Wakiristo imekatazwa kwa mtu yeyote kuvaa mavazi yasiyokuwa ya jinsia yake.
Msitari kamili siukumbuki lkn ni kitabu cha wagalatia ktk bible.
Rudia mada hapo Rihanna kavamia dini ya watu , wao wamepanic wewe utaleta porojo za siasaMbona wewe unaingilia maamuzi ya watu ya kukosoa, kudhihaki na kuponda?
Rihanna amefanya uamuzi wake. Kwanini wewe unataka kumwingilia?Rudia mada hapo Rihanna kavamia dini ya watu , wao wamepanic wewe utaleta porojo za siasa
Uamuzi upi? kuingilia mavazi ya watu ni uamuzi ? Ndio maana mnachapwa kule Zenji kila kitu mnelata siasa .Rihanna amefanya uamuzi wake. Kwanini wewe unataka kumwingilia?
Samahani mkuu....
Hivi majuzi Rihanna alikuwa amepost picha akiwa amevaa nguo za Masista wale wa kiroma.Watu wengi Sana wamemponda wengine kusema hana heshima.Wengine kusema anadhalilisha ukristo.
Watu ilibidi waelewe kwanini Rihanna kaamua kuvaa vile na sio kuleta makasiriko yasiyo na maana.
Uamuzi ni nini?Uamuzi upi? kuingilia mavazi ya watu ni uamuzi ? Ndio maana mnachapwa kule Zenji kila kitu mnelata siasa .
Utajua mwenyewe ila sio kuingilia mipaka ya watu.Uamuzi ni nini?