Am For Real
JF-Expert Member
- Nov 21, 2023
- 323
- 770
Tegemea madhara zaidiKwa jamii zilizostaarabika: dini zina haki ya kupondwa, kukosolewa na kidhihakiwa.
Wewe mbona haujaeleza kwa nini alivaa hivyo?
Hivi majuzi Rihanna alikuwa amepost picha akiwa amevaa nguo za Masista wale wa kiroma.Watu wengi Sana wamemponda wengine kusema hana heshima.Wengine kusema anadhalilisha ukristo.
Watu ilibidi waelewe kwanini Rihanna kaamua kuvaa vile na sio kuleta makasiriko yasiyo na maana.
She looks like a witch!Kama ndio ubunifu, basi hakufanikiwa maana hajapendeza
Siasa zinakupa ujinga ,maisha ya watu wewe uponde ili upate nn ? Kama hufuati achana nayo ..Hizo mentality zako za kisiasa utakuja kupata tabu sio kila kitu cha kukosaKwa jamii zilizostaarabika: dini zina haki ya kupondwa, kukosolewa na kudhihakiwa.
Kwa hio ASAP Rocky nae avae kanzu za Mapadrii alafu abebe Bible kisha wawabebe watoto wao mikononi hapo itakua imekaa Sawa sana kwamba Padrii ASAP Rocky anamgonga Sista Rihanna na kumzalisha watoto
Hivi majuzi Rihanna alikuwa amepost picha akiwa amevaa nguo za Masista wale wa kiroma.Watu wengi Sana wamemponda wengine kusema hana heshima.Wengine kusema anadhalilisha ukristo.
Watu ilibidi waelewe kwanini Rihanna kaamua kuvaa vile na sio kuleta makasiriko yasiyo na maana.
Mr Umbrella ndio nani?Kabla ya kucoment inatakiwa utambue rihana ana muabudu nani yuko nyuma yake.
Rihana anamuabudu Mr umbrella
Kuna madhehebu ya kikristo huwa hivyo.Mchungaji/padre/priest anaoa.Kumbuka.Kwa hio ASAP Rocky nae avae kanzu za Mapadrii alafu abebe Bible kisha wawabebe watoto wao mikononi hapo itakua imekaa Sawa sana kwamba Padrii ASAP Rocky anamgonga Sista Rihanna na kumzalisha watoto
Vibengo ni wengi sana generation ya sasa inayowatajirisha fans watamwambia hilo vazi lake wanalinunua kwa mamillion ya dollars alafu kinakua fashion SIO ya masista tuDunia ya sasa ya content haizuiliki hayo mambo ni kama mafuriko maana watu wanayapenda mnoooo
Sugua kichwa utaelewa conspiracyMr Umbrella ndio nani?
Ushasema madhehebu Ila SIO Roma na hayo madhehebu unayoyasema hawanaga masista wanaovaa km RomaKuna madhehebu ya kikristo huwa hivyo.Mchungaji/padre/priest anaoa.Kumbuka.
Mzee Devil mwenyewe au nani?Sugua kichwa utaelewa conspiracy
Lakini,mimi sijasema.Nimeandika.Ushasema madhehebu Ila SIO Roma na hayo madhehebu unayoyasema hawanaga masista wanaovaa km Roma