Rihanna Hana makosa kuvaa nguo za Masista

Yaani mtu unapoteza muda kuanza kupambana na wasioamini...

Sasa ulitaka huyo mwanamama ausifie Ukristo au Uislam?
 
Ukristo sio vazi ye hata angeshona kama Yale ya papa akavaa sawa kumfatilia ni kumpa unnecessary attention ambayo kimsingi ndiyo alikuwa anatamani
We unasema huyo huko kwenye porn site Kila vazi limevaliwa na wafanya ngono uniform za shule,jeshi,rubani,hizo nun clothes ,hijabu ,nikabu ,kanzu etc zote zimevaliwa hayo ni mavazi tu
 

Vazi kama la Pope alishalivaa kitambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…