Rihanna na A$AP Rocky wanatarajia mtoto wa tatu

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
5,383
Reaction score
18,776
Rihanna amethibitisha kuwa ni mjamzito wa mtoto wa tatu baada ya kuonyesha ujauzito wake hadharani kwenye hafla ya Met Gala 2025.

IMG_4714.jpeg

Msanii huyo maarufu alitinga kwenye zulia jekundu akiwa amevaa vazi la kifahari lililobainisha wazi tumbo lake la ujauzito, jambo lililowafurahisha mashabiki wengi wa staa huyo.

IMG_4718.jpeg

Na sasa Rihanna na mpenzi wake, A$AP Rocky, wanatarajia kuongeza mtoto mwingine kwenye familia yao baada ya RZA Athelston Mayers, alizaliwa Mei 2022 na Riot Rose Mayers, aliyezaliwa Agosti 2023.

IMG_4716.jpeg
 
Uzuri pesa za matunzo zipo na watoto wana nawiri bila tatizo, acha apandanishe tyuh, kachelewa mno kupata watoto.

Asap anaweka vitu tyuh kwa tumbo la RIRI, ina maana huwa hakojoleagi nje hata kwa bahati mbaya, ni ndanii tyuuh. Lol

😂😂😂😂😂😂
 
Pesa ipo, hauna stress sjui vikoba, mara bando huna, mara luku mara gesi imeisha,, mara simu Ina shida ..kwanini usijaamiane na mwenzio kumwaga tu kuanzia asubuhi Hadi asubuhi...
 
Rihanna amethibitisha kuwa ni mjamzito wa mtoto wa tatu baada ya kuonyesha ujauzito wake hadharani kwenye hafla ya Met Gala 2025.

View attachment 3325832
Msanii huyo maarufu alitinga kwenye zulia jekundu akiwa amevaa vazi la kifahari lililobainisha wazi tumbo lake la ujauzito, jambo lililowafurahisha mashabiki wengi wa staa huyo.

View attachment 3325845
Na sasa Rihanna na mpenzi wake, A$AP Rocky, wanatarajia kuongeza mtoto mwingine kwenye familia yao baada ya RZA Athelston Mayers, alizaliwa Mei 2022 na Riot Rose Mayers, aliyezaliwa Agosti 2023.

View attachment 3325836
Yesss tumezaliwa na sisi tuzae😁
 
Pesa ipo, hauna stress sjui vikoba, mara bando huna, mara luku mara gesi imeisha,, mara simu Ina shida ..kwanini usijaamiane na mwenzio kumwaga tu kuanzia asubuhi Hadi asubuhi...
Rihanna ana bunda refu kwahio kuzaa sio tatizo ni kufyatua tu afterall elimu ni bure Marekani.

Sasa we wa Samvulachole waige wao kufyatua halafu wanao wakakalie Matofali shule ya msingi BomBom😃
 
😁😁😁😁😁Iga ufe au uanze kulaumu serikali.
 
Back
Top Bottom