Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Bingili

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
310
Reaction score
799
Muhuni ni muhuni tu,

Wakati Bad Girl RiRi anaachana na boyfriend wake wa kiarabu tajiri wa mafuta na kuanza mahusiano na muhuni Rapper Asap Rocky wengi walishangaa na hawakumuamini Asap kama atatulia na RiRi kwasababu hana hadhi ya kuwa na demu kaliba ya Rihanna.

Lakini kadiri siku zilivyokua zinakwenda Asap akawathibitishia kwamba RiRi alikua sahihi kumchagua na mahaba yaka motomoto Asap akabadilika kabisa
Akakuza brand zake kwa mgongo wa RiRi.

Na hatimaye hivi karibuni wakaweka hadharani kwamba wanategemea kupata mtoto wao
RiRi mapicha picha ya mimba na mitoko na Asap ikiwa ndio habari ya mjini kwenye social media

Ghafla bin vuu Asap kaharibu
RiRi kabaini Asap anatoka kimapenzi na mfanyakazi wa RiRi kwenye kampuni yake ya viatu
Hadi sasa RiRi kafuta picha zote za Asap kwenye social media zake zote.

Mijadala kwenye social media imekua ndio hiyo
Kama a beautifully Bilionea RiRi, the richest woman musician duniani na bado muhuni kam cheat ni mwanamke gani atabaki salama 😂😂😂
 
Asap asingechomoa hapa cheki mtoto wa kiarabu huyu
Screenshot_20220415-100737_1.jpg
 
Mpk sahv ASAP ndio mshindi,
Tayar Keshatia kitoto tumboni mwa rihanna.

Japo rihanna anaumia kua cheated,
ila furaha aliyonayo moyoni mwake Haina kifani, ASAP kumzawadia mtoto maishan mwake imekua Kama miujiza. HAKUAMINI.

Ndo maana kutwa kucha rihanna Yuko mitaani na kitumbo chake, Anaenjoy TU.

I bet hawa watarudiana TU[emoji4]
 
Ngoma ikivuma sana mwishoe hupasuka....huyu demu na huyo muhuni walikuwa kituko duniani, full kuzurura na mimba akiwa uchi utadhani yy ndo wa kwanza kubeba ujauzito dunia nzima...

Lazima pangetokea tukio tu la kumtuliza hilo wenge[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom