Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Ila mwanaume ukishalala na mwanamke zaidi ya mara mbili unamuona wa kawaida tu.😂
 
Mie nasubiria tu kumuona mtoto wa riri maana mimba tumeiona mwanzo mwisho
 
Mmmmh mkuu...

Wewe ndo nakusikia leo kuwa Rihanna alikuwa ana matatizo ya kuzaa, huyu demu mbona bangi na pombe tu muda, toka akiwa mdogo[emoji848]

Halafu hana umri mkubwa kiviile hadi kukata tamaa[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Rihanna sahv Yuko na Miaka 34.
Kwa mwanamke hujapata hata mimba ya kusingizia inaleta Sana stress
 
Back
Top Bottom