Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Kwa msaada wa lugha tu rock ni mwamba, hivyo Asap Rocky kwa kiswahili ni Sholo Mwamba….. ni MWAMBA kweli kweli.
 
Vipi kafuta picha mimba kasahau ingawaje nayo ilionekana katika post za Ig.
Dada ukifeli kusoma nia ya mhuni utaishia kupigwa miti tu😂😂
 
Ndugu wajumbe.
Ninapenda kuwapa taarifa ASAP na badgalRiri wameonekana wakipanda gari kimahaba baada ya kushuka kwenye ndege barbados.
 
Hii habari ni fake jana wametangaza kwenye kituo cha tv cha marekan e news
 
Muhuni ni muhuni tu,

Wakati Bad Girl RiRi anaachana na boyfriend wake wa kiarabu tajiri wa mafuta na kuanza mahusiano na muhuni Rapper Asap Rocky wengi walishangaa na hawakumuamini Asap kama atatulia na RiRi kwasababu hana hadhi ya kuwa na demu kaliba ya Rihanna.

Lakini kadiri siku zilivyokua zinakwenda Asap akawathibitishia kwamba RiRi alikua sahihi kumchagua na mahaba yaka motomoto Asap akabadilika kabisa
Akakuza brand zake kwa mgongo wa RiRi.

Na hatimaye hivi karibuni wakaweka hadharani kwamba wanategemea kupata mtoto wao
RiRi mapicha picha ya mimba na mitoko na Asap ikiwa ndio habari ya mjini kwenye social media

Ghafla bin vuu Asap kaharibu
RiRi kabaini Asap anatoka kimapenzi na mfanyakazi wa RiRi kwenye kampuni yake ya viatu
Hadi sasa RiRi kafuta picha zote za Asap kwenye social media zake zote.

Mijadala kwenye social media imekua ndio hiyo
Kama a beautifully Bilionea RiRi, the richest woman musician duniani na bado muhuni kam cheat ni mwanamke gani atabaki salama 😂😂😂
Hizi tetesi zitakuwa fake.
Ona hii toja yahoo news
Screenshot_20220418_111213.jpg
 
Back
Top Bottom