Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Wamarekani wa Buza sijui mtakuja kufuta comments zenu humu??

Mtu kufuta picha za mtu wake haimaanishi wameachana.
View attachment 2188839
Any way nendeni tu mkaendelee kumshambulia mume wa Maunda zoro maana huku kwa Rihana na Asap mlijiingiza chaka mapenzi bado ya moto.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaah
 
My age mate ..role model wangu...mpaka majanga kwenye mapenz tuaendana.Alee mtoto aachane nae huyo rasi
 
Mmmh mbovuu[emoji57][emoji57]

Asap bana anajiokotea tu daaah!

Haya muuza viatu huyu, sasa si huwaga anagonga na mama ntilie huyu!

Sema Riri hana bahati na mapenzi, ukweli usemwe, kuanzia Chris brown, mwarabu, drake sasa na huyu marastaa...

Rihanna arudi kwa Drake huyu jamaa nahisi alimpenda sana Riri kuliko wengine

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Na yule mwarabu aisee walidumu
 
Yaan mababy mamas wote HOV aliowapiga mimba akasepa wameungana wanampeleka mahakamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lilivyo lijanja hata DNA halitaki maana mitoto yote inafanana na yy anajua anaumbuka hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23]
 
Ila couple ya Asap na Riri mie naipenda kweli.
Wanaendana halafu kuna vitabia wanashare..unajua Rihanna ni mraibu mkubwa wa drugs hasa Mirungi na ganja na hapa Asap nae ndio kwake,sasa mahusiano yale mengi ya nyima Rihanna alidate na humble guy ambao sio wahuni nadhan kwa Asap kakutana na new lifestyle anapenda zile wanavuta ganja kwanza then ndio wanaingia kunyanduana basi kwake yeye ni burudan tosha
 
Marastaa malayaa sana...watu walikuwa wanashangaa [emoji1787][emoji1787]


Sasa Kuna bomu Beyonce kalikalia siku likilipuka dunia itatetema, yaan amemeza moto fire [emoji91]

Jay z ana watoto mia nje na wote anajifanya sio wake[emoji1787][emoji1787]

Bey ana roho ngumu sana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Si kila mtu anautajiri wake walee watoto tu,jay mtu mbadi kma diddy
 
Rumors, Rihanna amethibitisha mwenyewe hizo ni habari za uongo. Kuna tweet ilisambaa ya uongo.
 
Yaan mababy mamas wote HOV aliowapiga mimba akasepa wameungana wanampeleka mahakamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lilivyo lijanja hata DNA halitaki maana mitoto yote inafanana na yy anajua anaumbuka hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Diddy ndio chiboko yao yani utakula raha upendavyo bt ndoa hakuna na mali zake zote zinajina la mama yake....anajua wanawake wanatamani ndoa kwake ili watajirike badae na talaka
 
B22D9FD6-4A55-4960-8DEE-6C3E8D4A78E1.jpeg


Amina Muaddi, shoe designer wa Fenty aliyekuwa anadaiwa kuvunja mahusiano ya Robbin Fenty na Rakim Mayers. Amethibitisha mwenyewe kuwa hizo habari ni za uongo.
 
After all the rumors of the break-up between A$AP Rocky and Rihanna, shoemaker star Amina Muaddi went to Instagram to tell her story.

"I've always believed that an unfounded lie spread on social media doesn't reserve any response or clarification, especially one that is so vile," Mauddi said.

"I initially assumed that this fake gossip -fabricated with such malicious intent- would not be taken seriously. However, in the last 24h, I've been reminded that we live in a society that is quick to speak on the topic regardless of factual basis and that nothing is off-limits."

"Not even during what should be one of the most beautiful and celebrated times in one's life. Therefore, I have to speak up as this is not only directed towards me but it is related and affection for."

"While Rih is continuing to live her serene, best-dressed pregnancy life and I go back to my business. I wish everyone a beautiful Easter weekend," Maudi finished.
 
NA WATU WENYE UMAARUFU/PESA/ELIMU/CHEO/UMBILE ZILE TABIA ZA UKIKE KIKE HAWANA, WANAKUWA WANAUME TOLEO LA PILI.
KITANZI PEKEE CHA KUWA NA MWANAUME NI TABIA (UTII, UNYENYEKEVU, USIKIVU, ) AMBAPO ZAMA HIZI HABARI HIZI NI KAMA UNYANYASAJI WA KIJINSIA.
 
Back
Top Bottom