Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Yule mama ana moyo sio kwa matukio anayopigwa
Yaan mababy mamas wote HOV aliowapiga mimba akasepa wameungana wanampeleka mahakamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lilivyo lijanja hata DNA halitaki maana mitoto yote inafanana na yy anajua anaumbuka hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Yaan mababy mamas wote hov aliowapiga mimba akasepa wameungana wanampeleka mahakamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lilivyo lijanja hata DNA halitaki maana mitoto yote inafanana na yy anajua anaumbuka hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatari khaaa!!!
 
Mmmh mbovuu[emoji57][emoji57]

Asap bana anajiokotea tu daaah!

Haya muuza viatu huyu, sasa si huwaga anagonga na mama ntilie huyu!

Sema Riri hana bahati na mapenzi, ukweli usemwe, kuanzia Chris brown, mwarabu, drake sasa na huyu marastaa...

Rihanna arudi kwa Drake huyu jamaa nahisi alimpenda sana Riri kuliko wengine

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Haaah pisi imesimama Arabic skin iyo
 
Shida ya wanawake wengi tabia ya kubania papuchi wanayo, haijalishi ana hela au lah [emoji23][emoji23][emoji23]
Utakuta mwana anapewa papuchi mara 1 kwa miezi miwili [emoji23][emoji23][emoji23]
Muhuni ni muhuni tu,

Wakati Bad Girl RiRi anaachana na boyfriend wake wa kiarabu tajiri wa mafuta na kuanza mahusiano na muhuni Rapper Asap Rocky wengi walishangaa na hawakumuamini Asap kama atatulia na RiRi kwasababu hana hadhi ya kuwa na demu kaliba ya Rihanna.

Lakini kadiri siku zilivyokua zinakwenda Asap akawathibitishia kwamba RiRi alikua sahihi kumchagua na mahaba yaka motomoto Asap akabadilika kabisa
Akakuza brand zake kwa mgongo wa RiRi.

Na hatimaye hivi karibuni wakaweka hadharani kwamba wanategemea kupata mtoto wao
RiRi mapicha picha ya mimba na mitoko na Asap ikiwa ndio habari ya mjini kwenye social media

Ghafla bin vuu Asap kaharibu
RiRi kabaini Asap anatoka kimapenzi na mfanyakazi wa RiRi kwenye kampuni yake ya viatu
Hadi sasa RiRi kafuta picha zote za Asap kwenye social media zake zote.

Mijadala kwenye social media imekua ndio hiyo
Kama a beautifully Bilionea RiRi, the richest woman musician duniani na bado muhuni kam cheat ni mwanamke gani atabaki salama [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ngoma ikivuma sana mwishoe hupasuka....huyu demu na huyo muhuni walikuwa kituko duniani, full kuzurura na mimba akiwa uchi utadhani yy ndo wa kwanza kubeba ujauzito dunia nzima...

Lazima pangetokea tukio tu la kumtuliza hilo wenge[emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haka kadada ingekua huku bongo tungekakodia kigoma na tukashonee vijora[emoji57][emoji57][emoji57]au tukaende sumbawanga[emoji1787]
Haaah huko insta tu kashaanza kuonja joto na ubaya picha ya mwisho aliopost ilikuwa ya Rihanna
 
Ila A$ap Rocky ile mob yao ya A$ap MOB hakuna hata aliyetulia wote ni malaya mbwa,Kuna dogo pale anaitwa Playboi carti "Asap Carti" (zingatia kwanza hata jina lenyewe la playboi) huyu huwa hafikishi mwezi katika mahusiano yake ni full of cheating Mob imekaa kimalayamalaya tupu, ila Rihanna kwa Asap huwa hachomoi kwanza mahusiano yao yana zaidi ya miaka kumi wanakulana kimyakimya mpk ilipokuwa official majuzi hapa na kuna rumors ilienea ya kwamba Asap rocky alishawahi kumcheat Rihanna kwa yule dada mwenye msambwanda rapper Megan Thee Stallion lakini Rihanna akasamehe!!,vipi kuhusu sasa na ule ujauzito? Ni wazo kwamba hasira zikipungua atamtafuta tena mhuni, Kwanza wanaendana,na wanapendana pia hawatoachana hawa
Screenshot_20220415-184151_WhatsApp.jpg
 
Back
Top Bottom