Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Tetesi: Rihanna na Asap Rocky wameachana

Yaan mababy mamas wote HOV aliowapiga mimba akasepa wameungana wanampeleka mahakamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lilivyo lijanja hata DNA halitaki maana mitoto yote inafanana na yy anajua anaumbuka hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Watoto wa kukataliwa wanajuaga kufanana na baba zao sijui kwa nini yani
 
Marastaa malayaa sana...watu walikuwa wanashangaa [emoji1787][emoji1787]

Sasa Kuna bomu Beyonce kalikalia siku likilipuka dunia itatetema, yaan amemeza moto fire [emoji91]

Jay z ana watoto mia nje na wote anajifanya sio wake[emoji1787][emoji1787]

Bey ana roho ngumu sana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app

Kivipi anajifanya sio wake? Wanawake wa marekan wazae na Jayz wakae kimya
 
Mpk sahv ASAP ndio mshindi,
Tayar Keshatia kitoto tumboni mwa rihanna.

Japo rihanna anaumia kua cheated,
ila furaha aliyonayo moyoni mwake Haina kifani, ASAP kumzawadia mtoto maishan mwake imekua Kama miujiza. HAKUAMINI.

Ndo maana kutwa kucha rihanna Yuko mitaani na kitumbo chake, Anaenjoy TU.

I bet hawa watarudiana TU[emoji4]
Kama offset na cardi
 
Wamarekani wa Buza sijui mtakuja kufuta comments zenu humu??

Mtu kufuta picha za mtu wake haimaanishi wameachana.
20220415_213008.jpg

Any way nendeni tu mkaendelee kumshambulia mume wa Maunda zoro maana huku kwa Rihana na Asap mlijiingiza chaka mapenzi bado ya moto.
 
Rihanna sahv Yuko na Miaka 34.
Kwa mwanamke hujapata hata mimba ya kusingizia inaleta Sana stress
Wasanii wa kike wa mbele walivyo busy kupiga hela under 30, mbona 34 kawaida. Kafuatilie Janeth Jackson, Mariah carey, katy Perry au naomi Campbell walipata watoto kwa age gani
 
Wamarekani wa Buza sijui mtakuja kufuta comments zenu humu??

Mtu kufuta picha za mtu wake haimaanishi wameachana.
View attachment 2188839
Any way nendeni tu mkaendelee kumshambulia mume wa Maunda zoro maana huku kwa Rihana na Asap mlijiingiza chaka mapenzi bado ya moto.

Mume wa Maunda anaitwa nani nikasome comments za malaika wa mitandaoni nicheke?
 
Yan yule Bilionea wa kiarabu tu ndio alikua sahihi kwake jamaa angemuoa hao wengine wahuni tu!
Hata mi niliona hivyo aisee ila riri nahisi ana attitude thou sipendi iwe kweli
 
Marastaa malayaa sana...watu walikuwa wanashangaa [emoji1787][emoji1787]

Sasa Kuna bomu Beyonce kalikalia siku likilipuka dunia itatetema, yaan amemeza moto fire [emoji91]

Jay z ana watoto mia nje na wote anajifanya sio wake[emoji1787][emoji1787]

Bey ana roho ngumu sana

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bey kwa jigga hajiwezi kafa kaoza mnooo.
 
Asap kashatengeneza brandy yake na kamchuna mihela ya kutosha ( mtaji) na mimba kamtwisha, hana cha kupoteza[emoji1787][emoji1787][emoji23]

Na dunia nzima tunajua kuwa Asap kamkojoza Riri na mbegu yake imetengeneza kiumbe, Rihanna kwisha habaree yake[emoji848]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan mababy mamas wote HOV aliowapiga mimba akasepa wameungana wanampeleka mahakamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Lilivyo lijanja hata DNA halitaki maana mitoto yote inafanana na yy anajua anaumbuka hapa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ila A$ap Rocky ile mob yao ya A$ap MOB hakuna hata aliyetulia wote ni malaya mbwa,Kuna dogo pale anaitwa Playboi carti "Asap Carti" (zingatia kwanza hata jina lenyewe la playboi) huyu huwa hafikishi mwezi katika mahusiano yake ni full of cheating Mob imekaa kimalayamalaya tupu, ila Rihanna kwa Asap huwa hachomoi kwanza mahusiano yao yana zaidi ya miaka kumi wanakulana kimyakimya mpk ilipokuwa official majuzi hapa na kuna rumors ilienea ya kwamba Asap rocky alishawahi kumcheat Rihanna kwa yule dada mwenye msambwanda rapper Megan Thee Stallion lakini Rihanna akasamehe!!,vipi kuhusu sasa na ule ujauzito? Ni wazo kwamba hasira zikipungua atamtafuta tena mhuni, Kwanza wanaendana,na wanapendana pia hawatoachana hawaView attachment 2188593
Ila couple ya Asap na Riri mie naipenda kweli.
 
Back
Top Bottom